Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA WATAALAM WA AFYA KUJADILI HALI YA MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAWAZIRI WA AFYA SADC WAKUTANA DAR KUJADILI UGONJWA WA CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Blog ya jamii
MAWAZIRI wa sekta ya afya kutoka nchi 16 za Jumuiya ya Nchi za Maendeleo ya Kusini mwa Afrika( SADC) wamekutana jijini Dar es Salaam huku ajenda kuu kwa siku ya leo Machi 9 mwaka 2020 ikiwa ni kujadili mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Corona duniani.
Ugonjwa huo ambao uligundulika mwaka jana nchini China katika Jiji la Wuhan lililopo Jimbo la Hubei na kupewa jina la COVID-19, hadi kufikia jana umeshaua zaidi ya watu 3,800 duniani huku 100,008 wakiwa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA ATOA TAARIFA KUHUSU MWENENDO WA UGONJWA WA HOMA KALI YA MAPAFU (COVID-19) NCHINI


 Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akitoa taarifa ya mwenendo wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vipya jamii ya Corona wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa NIMR jijini Dar es salaam leo Kushoto ni Dk. Zainab Chaula Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akisisitiza jambo wakati alipotoa taarifa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wataalam wa afya kujadili Ebola

Wataalam wa afya wanakutana mjini London, Uingereza kujadili ugonjwa wa Ebola ulioua zaidi ya watu elfu nane Afrika magharibi

 

9 years ago

Michuzi

TAMKO LA WAZIRI WA AFYA DKT. SEIF RASHID KUHUSU HALI YA UGONJWA WA KIPINDUPINDU NCHINI

 Waziri wa Afya na Usitawi wa Jamii,Dk Seif Rashid akizungumza na waandishi wa habari hawaponi pichani juu ya Kuepuka kusalimiana kwa kushikana mikono Kunywa maji yaliyo safi na salama – yaliyochemshwa au kutiwa dawa Hakikisha usafi wa mazingira yako wakati wote ikiwa ni pamoja na chooni Kutokula matunda au kitu chochote bila kukisafisha kwa maji safi na salama Kuhakikisha unatumia choo kwa ufasaha na wakati wote Kuwahi mapema na toa taarifa kituo cha huduma  ya afya kilicho karibu na wewe...

 

5 years ago

Michuzi

OXFAM TANZANIA YAWANOA WATAALAM WA AFYA,WAZEE WA KIMILA VITA YA CORONA.


Msimamizi wa miradi Shirika la Oxfam Tanzania kanda ya kaskazini Donath Fungu akiendesha mafunzo ya kuwajengea uelewa washiriki kutoka wilaya ya Hanang',Babati,na maafisa sekta ya afya mkoa wa Manyara dhidi ya athari za virusi vya corona na namna ya kujikinga

Washiriki wakiwa kwenye mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uelewa dhidi ya athari za virusi vya Corona na namna ya kujikinga ikihusishwa na maswala ya kijinsia na kazi za nyumbani yaliyoandaliwa na shirika la Oxfam Tanzania
Afisa...

 

5 years ago

Michuzi

WATAALAM WA AFYA KUTOKA NCHI ZA ASIA,AFRIKA WABADILISHANA UZOEFU KUKABILIANA NA CORONA

Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV
WATALAAM wa afya kutoka nchi za Asia Pacifc na Afrika wamekutana leo kwenye madahalo wa pili wa kujadili na kubadilisha uzoefu katika kupambana na virusi vya Corona.
Mdahalo huo umefanyika kupitia Kituo cha Mafunzo duniani (TaGLC) kilicho chini ya Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) kwa kushirikiana na GDLN, Korea.
Kwa mara ya kwanza mdahalo wa aina hiyo uliofanyika Machi 16, mwaka 2020 na kwa sehemu kubwa ulijikita kuhusu athari na jinsi ya kupambana na Virusi vya ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani