WATAALAM WA AFYA KUTOKA NCHI ZA ASIA,AFRIKA WABADILISHANA UZOEFU KUKABILIANA NA CORONA
Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV
WATALAAM wa afya kutoka nchi za Asia Pacifc na Afrika wamekutana leo kwenye madahalo wa pili wa kujadili na kubadilisha uzoefu katika kupambana na virusi vya Corona.
Mdahalo huo umefanyika kupitia Kituo cha Mafunzo duniani (TaGLC) kilicho chini ya Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) kwa kushirikiana na GDLN, Korea.
Kwa mara ya kwanza mdahalo wa aina hiyo uliofanyika Machi 16, mwaka 2020 na kwa sehemu kubwa ulijikita kuhusu athari na jinsi ya kupambana na Virusi vya ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog26 May
''IRAN IPO TAYARI KUZIPA NCHI ZA AFRIKA UZOEFU WAKE WA KUKABILIANA NA CORONA''

10 years ago
MichuziMAAFISA WAANDAMIZI KUTOKA MABUNGE YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA KUBADILISHANA UZOEFU KAMPALA
KWA...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA WATAALAM WA AFYA KUJADILI HALI YA MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA


5 years ago
MichuziOXFAM TANZANIA YAWANOA WATAALAM WA AFYA,WAZEE WA KIMILA VITA YA CORONA.
Msimamizi wa miradi Shirika la Oxfam Tanzania kanda ya kaskazini Donath Fungu akiendesha mafunzo ya kuwajengea uelewa washiriki kutoka wilaya ya Hanang',Babati,na maafisa sekta ya afya mkoa wa Manyara dhidi ya athari za virusi vya corona na namna ya kujikinga
Washiriki wakiwa kwenye mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uelewa dhidi ya athari za virusi vya Corona na namna ya kujikinga ikihusishwa na maswala ya kijinsia na kazi za nyumbani yaliyoandaliwa na shirika la Oxfam Tanzania
Afisa...
5 years ago
CCM Blog
NCHI 20 ZENYE NGUVU KIUCHUMI WAKUBALIANA KUSAMEHE KWA MUDA MADENI YA NCHI MASIKINI DUNIANI ILI ZIWEZE KUKABILIANA NA CORONA

Mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu wa G20 wamesema wanaunga mkono kusimamisha kwa muda malipo ya madeni kwa nchi hizo ambazo zinahitaji kuvumiliwa.
Uamuzi huo umefikiwa jana katika mkutano wao uliofanyika kwa njia ya video.
Muda huo unaanza Mei Mosi hadi mwishoni mwa mwaka 2020 na deni kuu pamoja na malipo yote ya riba yatasimamishwa.
Mkurugenzi...
5 years ago
BBCSwahili11 May
Virusi vya corona: Jinsi ‘mazishi ya kisiri’ Afrika Kusini huenda ikasaidia kukabiliana na corona
5 years ago
CCM BlogCHAMA CHA WATAALAM WA AFYA YA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) CHATOA MAELEKEZO KWA WANACHAMA WAKE KUJIKINGA NA CORONA
Kwa sisi madaktari na wahudumu wa afya ya kinywa na meno tujikumbushe yafuatayo:
1. Kama ilivyo ada tuendelee kutumia vikinga maaambukizo kama mask, gloves, mawani, nk wakati tunahudumia wagonjwa...
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA WATAALAM WA HUDUMA ZA HABARI NA MAKTABA ZA AFYA AFRIKA (AHILA) JIJINI DAR
11 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA WATAALAM WA HUDUMA ZA HABARI NA MAKTABA ZA AFYA AFRIKA (AHILA) JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Huduma za Habari na Maktaba za Afya Afrika (AHILA) uliofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 20, 2014.
