''IRAN IPO TAYARI KUZIPA NCHI ZA AFRIKA UZOEFU WAKE WA KUKABILIANA NA CORONA''
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuyapa mataifa ya Afrika uzoefu wake katika suala la kupambana na ugonjwa wa COVID-19 (Corona).Mohammad Javad Zarif amesema hayo katika ujumbe alioutuma kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter kwa mnasaba wa 'Siku ya Afrika' iliyoadhimishwa jana Jumatatu. Katika ujumbe wake huo, Dakta Zarif amesema kuwa, "Pongezi kwa Siku ya Afrika 2020, siku hii inatukumbusha mapambano ya...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWATAALAM WA AFYA KUTOKA NCHI ZA ASIA,AFRIKA WABADILISHANA UZOEFU KUKABILIANA NA CORONA
WATALAAM wa afya kutoka nchi za Asia Pacifc na Afrika wamekutana leo kwenye madahalo wa pili wa kujadili na kubadilisha uzoefu katika kupambana na virusi vya Corona.
Mdahalo huo umefanyika kupitia Kituo cha Mafunzo duniani (TaGLC) kilicho chini ya Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) kwa kushirikiana na GDLN, Korea.
Kwa mara ya kwanza mdahalo wa aina hiyo uliofanyika Machi 16, mwaka 2020 na kwa sehemu kubwa ulijikita kuhusu athari na jinsi ya kupambana na Virusi vya ...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Coronavirus: Je nchi za Afrika ziko tayari kukabiliana na janga hili?
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusi vya Corona: Iran yaamua kufungua misikiti licha masharti ya kukabiliana na corona
5 years ago
MichuziHOSPITALI YA AMANA IPO TAYARI KUPOKEA WAGONJWA WA CORONA
NA ZAMARADI KAWAWA, MAELEZO, DAR ES SALAAMSerikali imehamisha wagonjwa wote waliokuwa wakipata huduma za afya katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dar es Salaam, Amana iliyopo Manispaa ya Ilala, ili kuanza kutekeleza jukumu la kutumia hospitali hiyo kutoa huduma za afya kwa wagonjwa wa Corona (COVID – 19).
Akizungumza na Watumishi wa hospitali hiyo mara baada ya kutembelea majengo yatakayotumika kuwalaza wagonjwa wa Corona (COVID-19), Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-mNtikCdLRTQ/Xphv0QRrbdI/AAAAAAAC3Mw/NB3npuPKqDE9G-oytYF4X3m-wT9yiEhHQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.png)
NCHI 20 ZENYE NGUVU KIUCHUMI WAKUBALIANA KUSAMEHE KWA MUDA MADENI YA NCHI MASIKINI DUNIANI ILI ZIWEZE KUKABILIANA NA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-mNtikCdLRTQ/Xphv0QRrbdI/AAAAAAAC3Mw/NB3npuPKqDE9G-oytYF4X3m-wT9yiEhHQCLcBGAsYHQ/s400/1.png)
Mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu wa G20 wamesema wanaunga mkono kusimamisha kwa muda malipo ya madeni kwa nchi hizo ambazo zinahitaji kuvumiliwa.
Uamuzi huo umefikiwa jana katika mkutano wao uliofanyika kwa njia ya video.
Muda huo unaanza Mei Mosi hadi mwishoni mwa mwaka 2020 na deni kuu pamoja na malipo yote ya riba yatasimamishwa.
Mkurugenzi...
9 years ago
MichuziMAAFISA WAANDAMIZI KUTOKA MABUNGE YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA KUBADILISHANA UZOEFU KAMPALA
KWA...
5 years ago
BBCSwahili11 May
Virusi vya corona: Jinsi ‘mazishi ya kisiri’ Afrika Kusini huenda ikasaidia kukabiliana na corona
5 years ago
BBCSwahili10 Mar
Nchi za SADC ziko tayari kiasi gani kudhibiti virusi vya corona?
5 years ago
BBCSwahili27 Apr
Virusi vya corona: Nchi zinazoongozwa na wanawake wametumia mikakati gani kukabiliana na janga hili?