Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMKO LA WAZIRI WA AFYA DKT. SEIF RASHID KUHUSU HALI YA UGONJWA WA KIPINDUPINDU NCHINI

 Waziri wa Afya na Usitawi wa Jamii,Dk Seif Rashid akizungumza na waandishi wa habari hawaponi pichani juu ya Kuepuka kusalimiana kwa kushikana mikono Kunywa maji yaliyo safi na salama – yaliyochemshwa au kutiwa dawa Hakikisha usafi wa mazingira yako wakati wote ikiwa ni pamoja na chooni Kutokula matunda au kitu chochote bila kukisafisha kwa maji safi na salama Kuhakikisha unatumia choo kwa ufasaha na wakati wote Kuwahi mapema na toa taarifa kituo cha huduma  ya afya kilicho karibu na wewe...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Balozi Modest Mero afanya mazungumzo na Mh. Dkt. Seif Rashid, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii na Bi. Agness Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa, Geneva, Uswisi

 Balozi Modest Mero na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Bi. Agness Kijazi katika picha ya pamoja, kwenye makazi ya balozi Tanzania nchini Geneva
Hivi karibuni Mh. Modest Mero, Balozi wa Tanzania, Geneva alifanya mazungumzo ya pamoja na Mh. Dkt. Seif Rashid na Bi. Agness Kijazi, katika makazi ya Balozi, Geneva.
Ujumbe wa Mh. Waziri ulikuwa Geneva kwenye kikao cha Bodi ya " Global Alliance for Vaccines and Immunization", Geneva, ambapo Mh. Waziri ni mjumbe wa Bodi. Na pia...

 

11 years ago

GPL

BALOZI MODEST MERO AFANYA MAZUNGUMZO NA MH. DKT. SEIF RASHID, WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII

Mh.Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii katika mazungumzo na Balozi Mero, kwenye makazi ya balozi, Geneva, Uswisi.
Wakijiandaa kupata mlo wa pamoja baaada ya mazungumzo…

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII Dkt.SEIF S.RASHID(Mb) AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 15 WA PRINMAT 2014

 Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii Dkt.Seif S.Rashid (Mb) akifungua mkutano mkuu wa 15 mwaka wa chama cha wauguzi na wakunga walio katika huduma binafsi (PRINMAT). Kushoto kwa waziri ni Dkt.Mariam Ongala Anayesimamia masuala ya PPP katika wizara ya Afya na ustawi wa Jamii na kulia kwa waziri ni m/kiti wa PRINMAT  Bi. Rabisante Sama. Mkutano huu unafanyika katika Hoteli ya Rombo Green View iliyopo Sinza, jijini Dar es salaam kuanzia leo tarehe 10 hadi  13/03/2014. Wajumbe na wanachama wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DKT. SEIF RASHID AFUNGUA MKUTANO WA MADAKTARI DAR ES SALAAM LEO

  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), Dk. Othman Kiloloma akizungumza na wandishi wa habari (pichani hawapo), katika mkutano wa nne wa mafunzo ya upasuaji wa ubongo , uti wa mgongo na mishipa ya fahamu Dar es Salaam leo. Mkutano huo ulifunguliwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Rashid, unao endelea hadi Mei 15-2015. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)Aliyekuwa Mkurugenzi wa Tiba MOI, Dk. Abednego Kinasha akitoa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA DKT SEIF RASHID AZINDUA KONGAMANO LA TISA LA NHIF NA WAANDISHI WA HABARI MKOANI DODOMA LEO.

Pichani juu na chini ni Mgeni rasmi Waziri wa Afya,Dkt.Seif Rashid akizungumza wakati wa kuzindua kongamano la tisa la NHIF na Waandishi wa Habari,lililofanyika leo katika moja ya ukumbi wa Dodoma hotel mkoani humo,ambapo kauli mbiu ya kongamano hilo ni ''Tanzania na Huduma bora za matibabu inawezekana''.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF,Bwa.Hamisi Mdee  akizungumza katika kongamano la tisa la NHIF na Waandishi wa Habari,lililofanyika leo katika moja ya ukumbi wa Dodoma hotel mkoani humo,ambapo...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK.RASHID SEIF AFUNGUA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU USALAMA WA CHAKULA

 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif  (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.  Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando (kushoto),...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yatoa taarifa kuhusu hali ya Kipindupindu nchini

ummy 1

Waziri Ummy Mwalimu alizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na hali ya kipindupindu nchini ambapo hadi sasa ni mikoa 21 ya Tanzania Bara imeathirika.Jumla ya watu 12,222 wameugua kipindupindu na kati yao watu 196 wameshafariki.

ummy 2

Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimfuatilia waziri huyo(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa hiyo.Hata hivyo Waziri Ummy ameagiza kila wiki (jumatatu) wizara yake kutoa  taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu hali ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani