Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halmashauri za Mwanza vinara hati isiyoridhisha

HALMASHAURI za Jiji la Mwanza zimeelezwa kuongoza kwa kuwa na hati isiyoridhisha baada ya kufanyiwa ukaguzi wa mahesabu yake na Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG). Wakati hali ikiwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Rorya waipa halmashauri yao hati yenye shaka

Unapofika kwenye makao ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara, utavutiwa na majengo mazuri ya ghorofa na miundombinu yake iliyoboreshwa bila kusahau ngazi nzuri zilizojengwa kwa kuzingatia hali ya mtu.

 

5 years ago

Michuzi

Malima aipongeza Halmashauri ya Bunda kwa hati safi


Na. Immaculate Makilika- MAELEZO

Mkuu wa Mkoa wa Mara ameipongeza Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka wa fedha 2016/2017.

Akizungumza hivi karibuni wakati wa uwasilishaji wa hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Selikali kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019, Mkuu wa mkoa wa Mara, Adam Malima aliipongeza Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka wa fedha 2016/2017,...

 

10 years ago

Michuzi

JKT KANEMBWA YAIOMBA HALMASHAURI YA KIGOMA KUMALIZA MCHAKATO WA KUKIPATIA HATI MILIKI YA MAENEO YA KIKOSI

Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii,Kigoma
KAMANDA wa Kikosi cha Jeshi la kujenga Taifa (JKT) 824 KJ cha Kanemwa wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma Luteni Kanali Erasmus Bwegoge ameomba Halmashauri ya wilaya hiyo kutilia mkazo na kuhitimisha mchakato wa kupata hati miliki ya maeneo ya kikosi hicho ili kuondoa uwezekano wa wananchi kuvamia maeneo hayo jambo ambalo linaweza kuzua migogoro na kuhatarisha mahusiao baina ya Jeshi na wananchi.
Luteni kanali Bwegoge ametoa ombi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma...

 

11 years ago

Michuzi

HALMASHAURI NA WADAU WA JIJI LA MWANZA WAANZA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA KUADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA JUNI 16

Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi inayoundwa na wadau wa watoto jijini Mwanza Bw. Godfrey Salumu akifafanua utaratibu mzima wa utendaji kazi wa kamati ndogo ndogo zilizoundwa kwa wajumbe (hawapo pichani) ili kuweza kufanikisha maadhimisho hayo. Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya jiji la Mwanza Bi Eluminata Mwita akisikiliza jambo kwa makini toka kwa wajumbe (hawapo pichani). Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wanawake na Wasichana, KIVULINI Bw Ramadhani Masele (kushoto)...

 

10 years ago

StarTV

Halmashauri Gairo yaidai Halmashauri Kilosa Sh. Mil. 253

Na Kasilda Mgeni Mulimila,

Morogoro.

 

Halmashauri ya wilaya Mpya ya Gairo mkoa Morogoro imeiangukia Serikali kuwasaidia kurejeshwa kwa fedha za mapato ya ndani zaidi ya shilingi milioni 250 ambazo zimechukuliwa na halmashauri mama ya wilaya ya Kilosa hali inayofanya Gairo kuonesha upungufu katika makusanyo ya ndani.

Halmashauri ya wilaya ya Kilosa imekuwa ikichukua mapato ya ndani ya halmashauri ya Gairo kupitia wakala wa kukusanya mapato walioingia mkataba na wilaya hiyo ya Kilosa kabla...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vinara wa mabomu wasakwe

WIKI hii, vyombo vingi vya habari viliwataliwa na taarifa kuhusu kukutwa kwa mabomu yaliyotegwa katika maeneo mbalimbali nchini. Tulianza kusikia taarifa za kukutwa kwa mabomu visiwani Zanzibar katika eneo la...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge vinara wa utoro

Mwenyekiti wa bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amewanyooshea kidole wabunge wa Bunge la Muungano kwamba wanaongoza kwa utoro kwenye vikao vya kamati.

 

11 years ago

BBCSwahili

Al-Ahly vinara wa makombe

Al-Ahly ya Misri imeandikisha rekodi ya kutwaa makombe 19 ya kimataifa na kuipiku AC Milan ya Italia yenye makombe 18

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani