Halmashauri Gairo yaidai Halmashauri Kilosa Sh. Mil. 253
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Morogoro.
Halmashauri ya wilaya Mpya ya Gairo mkoa Morogoro imeiangukia Serikali kuwasaidia kurejeshwa kwa fedha za mapato ya ndani zaidi ya shilingi milioni 250 ambazo zimechukuliwa na halmashauri mama ya wilaya ya Kilosa hali inayofanya Gairo kuonesha upungufu katika makusanyo ya ndani.
Halmashauri ya wilaya ya Kilosa imekuwa ikichukua mapato ya ndani ya halmashauri ya Gairo kupitia wakala wa kukusanya mapato walioingia mkataba na wilaya hiyo ya Kilosa kabla...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 Nov
Halmashauri ya Kilwa yaidai TPDC bilioni 3/-
SHIRIKA la Maendeleo la Taifa la Petroli Tanzania (TPDC) limetakiwa kuilipa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Sh bilioni tatu kutokana na kutolipa ushuru na fidia mbalimbali kwenye kiwanja wanachokimiliki.
10 years ago
Habarileo12 Apr
Halmashauri yakataa mil. 70/- za mwekezaji
MGODI wa almasi wa Elhilal uliopo Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, unadaiwa Sh milioni 105 kutokana na kuchelewa kulipa kodi ya ardhi tangu upatiwe hati halali ya umiliki mwaka 2009.
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Wananchi wanaidai halmashauri Sh223 mil
10 years ago
StarTV06 Feb
ACACIA yakabidhi Sh. Mil. 863 Halmashauri ya Tarime
Na Jumanne Ntono,
Mara.
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Acacia inayofanya kazi zake katika mgodi wa North Mara Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kuwasaidia wananchi kujiletea maendeleo kutokana na mabadiliko makubwa ya kiutendaji yaliyofanywa na kampuni hiyo hivi karibuni.
Akikabidhi hundi ya Shilingi milioni 863 kwa Halmashauri ya wilaya ya Tarime kama kodi ya tozo la huduma, Meneja mgodi wa Acacia North Mara, Gary Chapman amesema...
11 years ago
Habarileo16 Feb
Ashangaa halmashauri kushindwa kutumia mil 700/- za maji
NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla, ameshangazwa na utendaji wa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero kwa kushindwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maji hali inayoifanya iwe na kiwango cha chini cha upatikanaji wa maji cha asilimia 35 katika Mji wa Ifakara tofauti na lengo lililowekwa na Serikali.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-m-tzBKQFU7w/Xt_ziSHaqTI/AAAAAAALtP8/Z5DJZDGdhpwPIg_47T6xE-bb_rp-x14twCLcBGAsYHQ/s72-c/2.jpg)
HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATOA MIL.626 KWA VIKUNDI
Na.Ashura Mohamed -Arusha
Halmashauri ya Jiji la Arusha imekabidhidi Hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 626,kwa vikundi 100 vya Mikopo kwa makundi matatu ya Wanawake,Vijana na watu wenye Walemavu.
Akikabidhi Hundi hiyo Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro alisema fedha hizo ni kutoka Mapato ya ndani ambapo lengo ni kuwawezesha wananchi, kiuchumi ili kutimiza Sera ya Serikali ya Awamu ya Tano.
Daqqaro alisema kuwa serikali ya Sasa imekuwa ikisisitiza uwekezaji kwenye sekta ya Viwanda...