ACACIA yakabidhi Sh. Mil. 863 Halmashauri ya Tarime
Na Jumanne Ntono,
Mara.
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Acacia inayofanya kazi zake katika mgodi wa North Mara Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kuwasaidia wananchi kujiletea maendeleo kutokana na mabadiliko makubwa ya kiutendaji yaliyofanywa na kampuni hiyo hivi karibuni.
Akikabidhi hundi ya Shilingi milioni 863 kwa Halmashauri ya wilaya ya Tarime kama kodi ya tozo la huduma, Meneja mgodi wa Acacia North Mara, Gary Chapman amesema...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV28 Jan
Halmashauri Gairo yaidai Halmashauri Kilosa Sh. Mil. 253
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Morogoro.
Halmashauri ya wilaya Mpya ya Gairo mkoa Morogoro imeiangukia Serikali kuwasaidia kurejeshwa kwa fedha za mapato ya ndani zaidi ya shilingi milioni 250 ambazo zimechukuliwa na halmashauri mama ya wilaya ya Kilosa hali inayofanya Gairo kuonesha upungufu katika makusanyo ya ndani.
Halmashauri ya wilaya ya Kilosa imekuwa ikichukua mapato ya ndani ya halmashauri ya Gairo kupitia wakala wa kukusanya mapato walioingia mkataba na wilaya hiyo ya Kilosa kabla...
10 years ago
Michuzi
Acacia Mining yaingia makubaliano na halmashauri tatu nchini

10 years ago
Michuzi
Acacia Mining yaingia makubaliano na halmashauri tatu nchini ya ulipaji wa ushuru wa huduma (Service levy)
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Muuaji Tarime azikwa na halmashauri
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
Wananchi washiriki ukarabati wa barabara Halmashauri ya Mji wa Tarime!!
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
NHIF yakabidhi shuka za mil. 3.5/-
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani Tabora, umeikabidhi Hospitali ya Rufaa Kitete msaada wa shuka 150 zenye thamani ya sh milioni 3.5. Akikabidhi msaada huo, Mwenyekiti wa...
10 years ago
StarTV25 Aug
Marekani yakabidhi ruzuku ya Sh. Mil. 173
Balozi wa Marekani nchini Mark Childress amekabidhi ruzuku yenye thamani ya shilingi milioni 173 kwa vikundi na mashirika ya kijamiii 14 yanayofanya kazi ya kuboresha maisha ya watanzania kupitia shughuli za maendeleo.
Ruzuku hiyo inatarajiwa kuwanufaisha wananchi wa kipato cha chini zaidi ya 5,000 katika mikoa 12 na kuboresha huduma za kijamii ikiwemo afya, elimu, mazingira na maendeleo ya uchumi.
Kwa mujibu wa Ubalozi wa Marekani, lengo la ruzuku hiyo ni kusaidia vikundi na mashirika ya...
9 years ago
Global Publishers23 Dec
M-BET yakabidhi mil. 17 mshindi michezo ya kubahatisha
Mkurugenzi wa M-BET Dhiresh Kaba (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya zaidi ya sh. milioni 17 Kiboko Isomba Samaki baada ya kubahatika kushinda kupitia moja ya michezo inayoratibiwa na kampuni hiyo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Tarimba Abbas, akishuhudia zoezi hilo.
Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Tarimba Abbas, akiongea jambo mbele ya wanahabari kwenye makabidhiano ya hundi hiyo.
Mshindi wa milioni 17, Kiboko Isomba,...
11 years ago
Michuzi
farm afrika yakabidhi pikipiki 10 kwa halmashauri za Babati na Mbulu

Farm Africa kupitia mradi wake Usimamizi Endelevu Mfumo wa Ikolojia wa Msitu wa Nou (SNFEMP) na kwa ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekabidhi pikipiki 10 kwa halmashauri za wilaya za Mbulu na Babati. Pikipiki hizo 10 aina ya Honda XL zina thamani ya jumla ya Shilingi Milioni Sabini na Tano Akipokea pikipiki hizo katika hafla fupi iliyofanyika ofisi ya Farm Africa, Dareda Babati, Ijumaa tarehe 14 Februari, mwakilishi wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Babati, Bibi Zainabu Mnubi alisema...