Muuaji Tarime azikwa na halmashauri
Mtu aliyekuwa akituhumiwa kwa tuhuma za mauaji Mkoa wa Mara, Charles Kichune (38), ambaye alikufa mikononi mwa polisi amezikwa na halmashauri baada ya kukosa ndugu tangu mwili wake ulipohifadhiwa katika chumba cha maiti.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo10 Feb
‘Muuaji’ wa Tarime afariki dunia
MTUHUMIWA wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani Tarime mkoani Mara, aliyekuwa akihojiwa Polisi kwa tuhuma zilizokuwa zikimkabili, amefariki dunia katika Hospitali ya Wilaya wakati akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa pumu. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Kamishina Msaidizi Justus Kamugisha, alisema kuwa mtuhumiwa huyo jina lake halisi ni Charles Kichune (38) na alifariki usiku wa kuamkia jana wakati akitibiwa ugonjwa huo hospitalini.
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Kikosi cha Dar chamsaka muuaji wa watu 10 Tarime
10 years ago
StarTV06 Feb
ACACIA yakabidhi Sh. Mil. 863 Halmashauri ya Tarime
Na Jumanne Ntono,
Mara.
Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Acacia inayofanya kazi zake katika mgodi wa North Mara Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kuwasaidia wananchi kujiletea maendeleo kutokana na mabadiliko makubwa ya kiutendaji yaliyofanywa na kampuni hiyo hivi karibuni.
Akikabidhi hundi ya Shilingi milioni 863 kwa Halmashauri ya wilaya ya Tarime kama kodi ya tozo la huduma, Meneja mgodi wa Acacia North Mara, Gary Chapman amesema...
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
Wananchi washiriki ukarabati wa barabara Halmashauri ya Mji wa Tarime!!
10 years ago
StarTV28 Jan
Halmashauri Gairo yaidai Halmashauri Kilosa Sh. Mil. 253
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Morogoro.
Halmashauri ya wilaya Mpya ya Gairo mkoa Morogoro imeiangukia Serikali kuwasaidia kurejeshwa kwa fedha za mapato ya ndani zaidi ya shilingi milioni 250 ambazo zimechukuliwa na halmashauri mama ya wilaya ya Kilosa hali inayofanya Gairo kuonesha upungufu katika makusanyo ya ndani.
Halmashauri ya wilaya ya Kilosa imekuwa ikichukua mapato ya ndani ya halmashauri ya Gairo kupitia wakala wa kukusanya mapato walioingia mkataba na wilaya hiyo ya Kilosa kabla...
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Muuaji wa Meyiwa ni Kitendawili
9 years ago
BBCSwahili27 Aug
Muuaji ajiua Marekani
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Garissa:Rafiki ya muuaji asimulia
9 years ago
BBCSwahili10 Dec
Muuaji ajiita shujaa Colorado