‘Muuaji’ wa Tarime afariki dunia
MTUHUMIWA wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani Tarime mkoani Mara, aliyekuwa akihojiwa Polisi kwa tuhuma zilizokuwa zikimkabili, amefariki dunia katika Hospitali ya Wilaya wakati akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa pumu. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Kamishina Msaidizi Justus Kamugisha, alisema kuwa mtuhumiwa huyo jina lake halisi ni Charles Kichune (38) na alifariki usiku wa kuamkia jana wakati akitibiwa ugonjwa huo hospitalini.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMMOJA AFARIKI DUNIA, WATANO WAJERUHIWA AJALINI TARIME LEO
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-x3kCeZLOSE8/UzFCw2B63DI/AAAAAAAFWIE/tMlkIMiDDsE/s72-c/TUPA.jpg)
BREKING NYUZZZZZ: MKUU WA MKOA WA MARA MHE JOHN TUPA AFARIKI DUNIA WILAYANI TARIME LEo
![](http://2.bp.blogspot.com/-x3kCeZLOSE8/UzFCw2B63DI/AAAAAAAFWIE/tMlkIMiDDsE/s1600/TUPA.jpg)
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Muuaji Tarime azikwa na halmashauri
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Kikosi cha Dar chamsaka muuaji wa watu 10 Tarime
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Mez B afariki Dunia
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Mwanakatwe afariki dunia
KATIBU Mkuu wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania (FAT, sasa Shirikisho la Soka Tanzania – TFF), Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe amefariki dunia jana asubuhi katika Hospitali Kuu ya...
10 years ago
Uhuru Newspaper08 Apr
Dk. Mhita afariki dunia
NA MWANDISHI WETU ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA),Dk. Mohamed Mhita, amefariki dunia. Dk. Mhita ambaye pia ni mume wa Mbunge wa Kondoa Kaskazini, Zabein Mhita, anatarajiwa kuzikwa leo baada ya kuwasili kwa mkewe, aliyeko India kwa matibabu. Akizungumza na waandishi wa habari, mtoto wa marehemu, Muhaji Mhita alisema baba yake aliugua maralia, Jumatatu alfajiri na kupelekwa hospitali, ambapo alifariki usiku. Alisema walipofika hospitali walibaini kuwa shinikizo la...
10 years ago
CloudsFM21 Oct
MSANII YP AFARIKI DUNIA
Msanii aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la wanaume Family amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Meneja wa kundi hilo Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.