Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikosi cha Dar chamsaka muuaji wa watu 10 Tarime

Kikosi Maalumu cha Polisi kilichotumwa kutoka Dar es Salaam kwa ajili ya kuongeza nguvu katika msako wa mtu aliyehusika na mauaji ya watu 10 katika vijiji kadhaa wilayani Tarime, kimewasili na kumeanza kumsaka mtuhumiwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Muuaji Tarime azikwa na halmashauri

Mtu aliyekuwa akituhumiwa kwa tuhuma za mauaji Mkoa wa Mara, Charles Kichune (38), ambaye alikufa mikononi mwa polisi amezikwa na halmashauri baada ya kukosa ndugu tangu mwili wake ulipohifadhiwa katika chumba cha maiti.

 

11 years ago

Habarileo

‘Muuaji’ wa Tarime afariki dunia

MTUHUMIWA wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani Tarime mkoani Mara, aliyekuwa akihojiwa Polisi kwa tuhuma zilizokuwa zikimkabili, amefariki dunia katika Hospitali ya Wilaya wakati akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa pumu. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Kamishina Msaidizi Justus Kamugisha, alisema kuwa mtuhumiwa huyo jina lake halisi ni Charles Kichune (38) na alifariki usiku wa kuamkia jana wakati akitibiwa ugonjwa huo hospitalini.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA MELI VITA MBILI ZA KIKOSI CHA WANAMAJI CHA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015
Amiri Jeshi...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA MELI VITA MBILI ZA KIKOSI CHA WANAMAJI CHA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Muuaji wa watu tisa kanisani akamatwa

Mshukiwa wa mauaji ya watu tisa katika kanisa moja la kihistoria mjini Carolina Kusini amekamatwa.

 

9 years ago

Michuzi

CCM YATANGAZA RASMI KIKOSI CHAKE CHA KAMPENI 2015 JIJINI DAR LEO

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo asubuhi,katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam kuhusiana na uteuzi wa kamati ya Kampeni  kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015,ambayo itaongozwa  na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na  Wajumbe
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa jana Agosti 17, 2015 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika ...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA SABAS AFANYA ZIARA YA KIKAZI MAKAO MAKUU YA KIKOSI CHA MBWA NA FARASI JIJINI DAR ES

  Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas akikagua moja ya banda la Mbwa wa Kunusa, ukaguzi huo ni moja ya kazi za ziara yake katika kikosi cha Mbwa na Farasi jijini Dar Es Salaam. (PICHA NA JESHI LA POLISI)  Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, akimsikiliza Kamanda wa Kikosi cha Mbwa na Farasi ASP M.T.Kyariga, juu ya ufugaji pamoja na matunzo ya Farasi wakati wa ziara yake ya siku moja aliofanya kikosini hapo...

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 10 wahojiwa kwa mauaji Tarime

Watu 10 wanashikiliwa na polisi kwa mahojiano baada ya kukamatwa na msako wa kikosi kazi kwa kushirikiana na Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya, baada ya kutokea kwa mauaji ya hivi karibuni wilayani Tarime dhidi ya mtu asiyefahamika wala aina ya bunduki yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani