Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malima aipongeza Halmashauri ya Bunda kwa hati safi


Na. Immaculate Makilika- MAELEZO

Mkuu wa Mkoa wa Mara ameipongeza Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka wa fedha 2016/2017.

Akizungumza hivi karibuni wakati wa uwasilishaji wa hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Selikali kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019, Mkuu wa mkoa wa Mara, Adam Malima aliipongeza Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka wa fedha 2016/2017,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kwa miaka 5 hakuna h/shauri yenye hati safi

IMEELEZWA kuwa kwa miaka mitano mfululizo hakuna halmashauri nchini iliyopata hati safi.

 

11 years ago

Dewji Blog

JK aipongeza Ujerumani kwa kutwaa Kombe la Dunia, apokea hati za utambulisho wa mabalozi wanne leo

Jakaya-Kikwete

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) ameipongeza Ujerumani kwa kutwaa Kombe la Dunia mwaka huu.

Rais Kikwete ametoa pongezi hizo kwa Balozi mpya wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mheshimiwa Egon Kochanke ambaye  amewasilisha Hati zake za Utambulisho leo asubuhi Ikulu .

“Naipongeza Ujerumani kwa kuibuka washindi natumaini tutashirikiana vyema katika masuala ya utamaduni hasa hasa katika  kuinua kiwango cha  soka nchini Tanzania na kuzisaidia klabu za Tanzania kuanzisha shule maalum kwa...

 

5 years ago

Michuzi

Manispaa ya Sumbawanga yang’ara kimapato huku wakipata hati safi kwa miaka mitatu

Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kung’aa kwa kuvuka malengo ya makusanyo ya mapato katika kipindi cha miaka miwli mfululizo huku ikiendelea kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo hali inayapopelekea halmashauri hiyo kupata fursa ya mikopo kwaajili ya miradi maalum ya kimkakati kwaajili ya kuongeza mapato ya halmashauri.

Wakati akitoa salamu zake katika kikao cha Baraza la Madiwani la Manispaa hiyo kuhusu utekelezaji wa hoja za ukaguzi na mapendekezo ya...

 

5 years ago

Michuzi

KAGURUMJULI APONGEZWA KINONDONI KUPATA HATI SAFI MIAKA MITANO MFULULIZO .

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ,ndug. Aron Kagurumjuli akifungua kikao cha baraza la madiwani cha ukaguzi wa hoja za mkaguzi wa hesabu za serikali kilichofanyika leo katika ukumbi wa Manispaa. Kushoto ni Mstahiki Meya Mhe. Benjamini Sitta.
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni,Mhe. Benjamini Sitta akifuatilia hoja iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkaguzi   mkuu wa hesabu za nje, kulia ni Mkurugenzi Ndug. Aron KagurumjuliBaadhi ya madiwani  na watumishi ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Halmashauri za Mwanza vinara hati isiyoridhisha

HALMASHAURI za Jiji la Mwanza zimeelezwa kuongoza kwa kuwa na hati isiyoridhisha baada ya kufanyiwa ukaguzi wa mahesabu yake na Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG). Wakati hali ikiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Rorya waipa halmashauri yao hati yenye shaka

Unapofika kwenye makao ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara, utavutiwa na majengo mazuri ya ghorofa na miundombinu yake iliyoboreshwa bila kusahau ngazi nzuri zilizojengwa kwa kuzingatia hali ya mtu.

 

10 years ago

Michuzi

JKT KANEMBWA YAIOMBA HALMASHAURI YA KIGOMA KUMALIZA MCHAKATO WA KUKIPATIA HATI MILIKI YA MAENEO YA KIKOSI

Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii,Kigoma
KAMANDA wa Kikosi cha Jeshi la kujenga Taifa (JKT) 824 KJ cha Kanemwa wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma Luteni Kanali Erasmus Bwegoge ameomba Halmashauri ya wilaya hiyo kutilia mkazo na kuhitimisha mchakato wa kupata hati miliki ya maeneo ya kikosi hicho ili kuondoa uwezekano wa wananchi kuvamia maeneo hayo jambo ambalo linaweza kuzua migogoro na kuhatarisha mahusiao baina ya Jeshi na wananchi.
Luteni kanali Bwegoge ametoa ombi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani