Zitto, Filikunjombe wadai waziri alitaka kuiba ripoti
Viongozi wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe wamemtuhumu Waziri William Lukuvi kuwa alitaka kuiba ripoti ya kamati yao kuhusu uchotwaji wa Sh306 bilioni kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania24 Nov
… Waziri wa JK adaiwa kuiba ripoti ya CAG
![Rais Jakaya Kikwete](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jakaya-Kikwete1.jpg)
Rais Jakaya Kikwete
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
JOTO la kashfa ya wizi wa Sh bilioni 306 katika Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa imefunguliwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), limeendelea kupanda mjini Dodoma, huku mmoja wa mawaziri waandamizi akidaiwa kuuiba ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na kunyofoa baadhi ya kurasa kisha kuzisambaza mitaani.
Tangu kuwasilishwa kwa ripoti ya CAG bungeni wiki iliyopita, kumeibuka makundi mawili yanayokinzana moja likitaka...
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Hapatoshi:Wabunge wa upinzani wadai ripoti imechakachuliwa
10 years ago
Habarileo18 Nov
Zitto akabidhiwa ripoti ya Escrow
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu sakata la akaunti ya Tegeta Escrow, imeanza kufanyiwa kazi na Bunge na ndani ya siku nane zijazo, umma utajua ukweli wake. Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai alikabidhi ripoti hiyo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto, jana bungeni, na kamati imeanza kazi mara moja. Kwa mujibu wa Ndugai, taarifa hiyo ya CAG ina maoni kwa kila hadidu za rejea kama chombo hicho kilipoagiza wakati...
10 years ago
MichuziZITTO ; FILIKUNJOMBE NI MCHAPAKAZI MZURI, CHIKU AMTAKA MBUNGE MSIGWA AONYESHE ALICHOFANYA JIMBONI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
Zitto Kabwe, MB02 Oct
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
Filikunjombe ataka Waziri achapwe viboko bungeni
MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), ameliomba Bunge kubadilisha kanuni ili Waziri wa Kilimo na Chakula, Mhandisi Christopher Chiza, achapwe viboko bungeni akamuonyeshe mkewe. Filikunjombe, alisema kanuni hiyo iruhusu mawaziri...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-2Jhx8l-1L1E/Xm2-F73IsMI/AAAAAAALjsk/aCqIdWSGq_QCuckT4BegeSwtJsBTBXmHACLcBGAsYHQ/s72-c/a3d9931f-b021-490e-ba1f-4e3e9397d96c.jpg)
WAZIRI WA MADINI ALITAKA SHIRIKA LA MAENDELEO LA TAIFA (NDC) KUVITAMBUA VIPAJI NA UWEZO WAANZILISHI WA VIWANDA ILI KUWAJENGEA UWEZO
Biteko ameyasema hayo alipotembelea kiwanda kidogo cha kulainisha chuma kilichopo katika kata ya Lubonde wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kinachomilikiwa na Bw. Reuben Mtitu (Mzee Kisangani) na kuona uwezo wake katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmFIhqID0FqgvUfNlsmCriJ28Z5cIOqUpJFcMFEZW*WPHMMnI4NnYGfgKmpyof*awNdH66r3aX1IKE9UlXHBsQYaBVsVETQu/pinda.jpg)
KAMATI YA PAC YAMTAKA WAZIRI MKUU, MWANASHERIA MKUU, WAZIRI WA NISHATI NA MADINI WAWAJIBIKE KUHUSU RIPOTI YA TEGETA ESCROW
10 years ago
Zitto Kabwe, MB20 May
Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014
Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014
1) Taarifa nyingine ya CAG imetoka, kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kwa mujibu wa sheria za nchi. Taarifa hii imechelewa kutolewa kulingana na mabadiliko ya Ratiba za Bunge ambapo hapo awali taarifa ilikuwa ikitoka mwezi Aprili na kuwezesha kuchangia katika mchakato wa Bajeti ya nchi. Taarifa ya mwaka huu na ile ya mwaka Jana imetoka wakati wa Bunge la Bajeti na hivyo Bajeti ya Serikali...