VETA MAKETE WATEMBELEA WATOTO YATIMA NA KUTOA MISAADA MBALIMBALI
Wafanyakazi wa VETA Makete wakiwa katika picha na watoto yatima wa kituo cha Bulongwa. Kwa habari kamili na picha zaidi
BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
DC Makete atoa rai kwa jamii ya Makete kusaidia watoto yatima na waishio kwenye mazingira hatarishi
Mkuu wa wilaya ya Makete mwenye suti nyeusi (aliyesuka nywele) Mh. Josephine Matiro, mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (kulia kwa mkuu wa wilaya) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto walioshiriki maadhimisho hayo.
Na Mwandishi wetu
Imeelezwa kuwa ni jukumu la kila mmoja kuwasaidia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi, na si kuiachia serikali ama mashirika yasiyo ya kiserikali peke yao kufanya kazi hiyo
Kauli hiyo imetolewa...
11 years ago
Michuzi16 Jun
MKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI
11 years ago
GPLMKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI
10 years ago
VijimamboMAJAJI WA BONGO STAR SEARCH WATEMBELEA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA NA KUTOA MSAADA
10 years ago
Michuzi17 Dec
IDARA YA UHAMIAJI MKOA WA NJOMBE YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA WILAYANI MAKETE
Akizungumza wakati akikabidhi msaada wao afisa uhamiaji mkoa wa Njombe Rose Mhagama alisema wameguswa na suala hilo na kuamua kuvisaidia vituo vya watoto yatima Makete vitu mbalimbali, na kuwaomba wadau wengine kujitokeza kuwasaidia watoto hao
Kwa upande wake Mkuu wa wilaya Hiyo Bi...
10 years ago
GPLWASANII WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA
10 years ago
MichuziZIMAMOTO IRINGA WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA
NA DENIS MLOWE,IRINGA
JESHI la Zimamoto mkoani Iringa limesheherekea sikukuu ya pasaka na watoto wanaoishi katika kituo cha kulea yatima cha Sister Theresia kilichoko Tosamaganga mkoani Iringa kwa kuwapatia misaada mbalimbali.
Akikabidhi msaada huo Kamanda wa Jeshi la Zimamoto mkoa wa Iringa Inspekta Kennedy...
11 years ago
Habarileo09 Feb
PSPF watoa misaada kwa watoto yatima wa Karoli Lwanga
MFUKO wa Pensheni wa Watumishi wa Umma (PSPF) umetoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo vya shule vyenye thamani ya Sh milioni nne kwa Kituo cha watoto yatima katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Karoli Lwanga Parokia ya Yombo Dovya, Dar es Salaam.
10 years ago
GPLGLOBAL PUBLISHERS LTD YATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA SIKUKUU YA KRISMASI