PSPF watoa misaada kwa watoto yatima wa Karoli Lwanga
MFUKO wa Pensheni wa Watumishi wa Umma (PSPF) umetoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo vya shule vyenye thamani ya Sh milioni nne kwa Kituo cha watoto yatima katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Karoli Lwanga Parokia ya Yombo Dovya, Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWASANII WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA
Mponji akiwakabidhi watoto zawadi. Wasanii Kizibo wa kundi la Uaridi (mwenye tisheti nyekundu) akiwa na mwenzake wakibeba baadhi ya vifaa vya zawadi muda mfupi kabla ya kukabidhi.
Baadhi ya vitu hivyo vilivyotolewa zawadi.…
10 years ago
MichuziZIMAMOTO IRINGA WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA
Kamanda wa jeshi la zimamoto mkoa wa iringa akikabidhi mbuzi kwa kaimu mkuu wa kituo cha Sister Theresa, Sister Sister Winfrida Mhongole katika makabidhiano yaliyofanyika kituoni hapo.
NA DENIS MLOWE,IRINGA
JESHI la Zimamoto mkoani Iringa limesheherekea sikukuu ya pasaka na watoto wanaoishi katika kituo cha kulea yatima cha Sister Theresia kilichoko Tosamaganga mkoani Iringa kwa kuwapatia misaada mbalimbali.
Akikabidhi msaada huo Kamanda wa Jeshi la Zimamoto mkoa wa Iringa Inspekta Kennedy...
NA DENIS MLOWE,IRINGA
JESHI la Zimamoto mkoani Iringa limesheherekea sikukuu ya pasaka na watoto wanaoishi katika kituo cha kulea yatima cha Sister Theresia kilichoko Tosamaganga mkoani Iringa kwa kuwapatia misaada mbalimbali.
Akikabidhi msaada huo Kamanda wa Jeshi la Zimamoto mkoa wa Iringa Inspekta Kennedy...
10 years ago
MichuziKIKUNDI CHA WANAWAKE CHA WOMEN WITH VISION WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA KATIKA MSIMU HUU WA PASAKA
Wanakikundi wa women with vision wakiongozwa na mwenyekiti wao Herieth Makombe wakiwa katika kituo cha msimbaz centre walipofika na kutoa misaada ya baadhi ya mahitaji katika kuwakumbuka watoto yatima katika msimu huu wa sikukuu za pasaka
Baadhi ya mahitaji ambao walitoa katika kituo cha msimbaz centre katika kuawajali watoto yatima wa vituo vya msimbaz centre na mburahati.
10 years ago
GPLGLOBAL PUBLISHERS LTD YATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA SIKUKUU YA KRISMASI
Ofisa Utawala wa Global Publishers Ltd, Soud Kivea akimkabidhi fedha mlezi wa Al Madina, Kuruthumu Yusuf.
Dereva wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Eladius Banzi akishusha sehemu ya misaada hiyo.…
10 years ago
MichuziMSAMA PROMOTIONS YAMWAGA MISAADA KWA VITUO SABA VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR KWA AJILI YA PASAKA
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Bi. Honorata Michael kutoka kituo cha Honorata kilichopo Temeke jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya msaada kwa vituo vya watoto yatima jijini Dar es salaam vipatavyo saba, unaotolewa na kampuni hiyo katika wakati huu wa kuelekea sikukuu ya pasaka, vyakula hivyo vina thamani ya shilingi milioni 6
Tamasha la Pasaka linatimiza miaka 15 toka lianzishwe hapa nchini,ambapo...
Tamasha la Pasaka linatimiza miaka 15 toka lianzishwe hapa nchini,ambapo...
11 years ago
MichuziExcel Management and Outsourcing Yatoa Misaada kwa Kituo cha watoto yatima msimbazi
Mkurugeni Mkuu wa Kampuni ya Excel Management and Outsourcing,Deogratius Kilawe (wa tatu kulia) akikabidhi sehemu ya Misaada kwa Sista Silvanus ambaye ni Msimamizi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Msimbazi jijini Dar.Kampuni ya Excel Management and Outsourcing imetoa msaada huo baada ya kuguswa na kuona uhitaji wa Watoto hao.Mkurugeni Mkuu wa Kampuni ya Excel Management and Outsourcing,Deogratius Kilawe pamoja na timu yake wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi msaada wao kwa...
10 years ago
GPLHIGH CLASS NA MKUBWA NA WANAWE WATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA
Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe Saidi Fella (kulia) akikabidhi sehemu ya misaada kwa Kituo cha Hisani. Sehemu ya misaada iliyotolewa na High Class Look na Mkubwa na Wanawe.…
10 years ago
MichuziMKOA WA IDARA ZA SERIKALI NA MABALOZI WA NSSF WATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii JAMII imetakiwa kutambua mahitaji ya watoto wanaoishi katika vituo vya kulelea katika kubaini changamoto zao katika maisha wanayoishi na kuweza kuguswa kutoa msaada. Hayo ameyasema leo Mhasibu Mwandamizi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Idara za Serikali na Mabalozi,Wema Mbaga wakati akitoa msaada wa kituo Khilati Kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam,amesema kuwa wanatambua umhimu wa kutoa msaada kwa makundi maalumu wakiwemo watoto...
10 years ago
MichuziBANKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WATOA MISAADA KWA WATOTO WANAOLELEWA MSIMBAZI CENTER.
Baadhi ya Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water Front wakitoa misaada katika kituo cha kulelea watoto wa chini ya miaka minne(4) yatima katika kituo cha Msimbazi Chidrens Home kilichopo Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam leo.
Crediti manaja wa Benki ya CRDB, tawi la Water front, Isaya Lyimo akimpa maelekezo Sista wa kituo cha watoto yatima cha Msimbazi Chidrens Home kilichopo Msimbazi Centre, Sista Anna Marandu mara baada ya wafanykazi wa tawi hilo kutoa msaada wa vitu mbalimbali...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania