Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BANKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WATOA MISAADA KWA WATOTO WANAOLELEWA MSIMBAZI CENTER.


Baadhi ya Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water Front wakitoa misaada katika kituo cha kulelea watoto wa chini ya miaka minne(4) yatima katika kituo cha Msimbazi Chidrens Home kilichopo Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam leo.
Crediti manaja wa Benki ya CRDB, tawi la Water front, Isaya Lyimo akimpa maelekezo Sista wa kituo cha watoto yatima cha Msimbazi Chidrens Home kilichopo Msimbazi Centre, Sista Anna Marandu mara baada ya wafanykazi wa tawi hilo kutoa msaada wa vitu mbalimbali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA LEO

Mkurugenzi msaidizi wa benki ya CRDB huduma kwa wateja, Saugata Bandyopadhyay akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufika katika benki ya  CRDB tawi la Water Front leo jijini Dar es Salaam,  wakati wa kuadhimisha wiki ya utumisha wa huduma kwa mteja ambayo hufanyika kila Oktoba 5 kila mwaka katika banki hiyo.Keki ya kuwashukuru wateja wanaotembelea katika tawi la Water Front.Wateja waliotembelea tawi la Water Front, Mr &Mrs Prakash Shah wakishirikiana na Genoveva Kiliba kukata keki...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA 2 :BENKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WAENDELEA KUADHIMISHA WIKI HUDUMA KWA WATEJA

Meneja wa Benki ya CRDB wa tawi la Water Front, Donath Shirima akimpa tunzo pamoja na barua ya kumshukuru Afisa Mtendaji  mkuu wa Mohamed Interpraises, Mo dewji  kuwa ni mshiriki mkubwa wa benki ya CRDB katika tawi la Water Front leo katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika ofisi zake jijini Dar es Salaam.Mteja wa benki ya CRDB tawi la Water front akipima akipima Shinikizo la Damu leo jijini dar es Salaam katika tai hilo. Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WAWASHUKURU WATEJA KWA KUWAPA ZAWADI JIJINI DAR LEO.

 Meneja wa Benki ya CRDB  tawi la Water Front, Donath Shirima akimkabidhi tunzo katika ofisi za Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Reli, Benhdard Tito,kwa kumshukuru kuwa mteja benki hiyo katika tawi la Water Front kwa kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja inayoendelea kufanyika katika tawi hilo jijini Dar es Salaam leo. Meneja wa Benki ya CRDB  tawi la Water Front, Donath Shirima akimkabidhi tunzo, Mkurugenzi Mkuu wa Fedha wa kampuni ya NAS, Prakash Shenoy kumshukuru mteja huyo wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

Excel Management and Outsourcing Yatoa Misaada kwa Kituo cha watoto yatima msimbazi

Mkurugeni Mkuu wa Kampuni ya Excel Management and Outsourcing,Deogratius Kilawe (wa tatu kulia) akikabidhi sehemu ya Misaada kwa Sista Silvanus ambaye ni Msimamizi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Msimbazi jijini Dar.Kampuni ya Excel Management and Outsourcing imetoa msaada huo baada ya kuguswa na kuona uhitaji wa Watoto hao.Mkurugeni Mkuu wa Kampuni ya Excel Management and Outsourcing,Deogratius Kilawe pamoja na timu yake wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi msaada wao kwa...

 

10 years ago

GPL

WASANII WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA

Mponji akiwakabidhi watoto zawadi. Wasanii Kizibo wa kundi la Uaridi (mwenye tisheti nyekundu) akiwa na mwenzake wakibeba baadhi ya vifaa vya zawadi muda mfupi kabla ya kukabidhi.
Baadhi ya vitu hivyo vilivyotolewa zawadi.…

 

10 years ago

Michuzi

ZIMAMOTO IRINGA WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA

 Kamanda wa jeshi la zimamoto mkoa wa iringa akikabidhi mbuzi kwa kaimu mkuu wa kituo cha Sister Theresa, Sister Sister Winfrida Mhongole  katika makabidhiano yaliyofanyika kituoni hapo.
NA DENIS MLOWE,IRINGA
JESHI la Zimamoto mkoani Iringa limesheherekea sikukuu ya pasaka  na watoto  wanaoishi katika kituo cha kulea yatima cha Sister Theresia  kilichoko Tosamaganga mkoani Iringa kwa kuwapatia misaada mbalimbali.
Akikabidhi msaada huo Kamanda wa Jeshi la Zimamoto mkoa wa Iringa Inspekta Kennedy...

 

11 years ago

Habarileo

PSPF watoa misaada kwa watoto yatima wa Karoli Lwanga

MFUKO wa Pensheni wa Watumishi wa Umma (PSPF) umetoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo vya shule vyenye thamani ya Sh milioni nne kwa Kituo cha watoto yatima katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Karoli Lwanga Parokia ya Yombo Dovya, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

CRDB-TAWI LA LUMUMBA WASHEREKEA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA NA WATOTO JIJINI DAR

 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB wa tawi la Lumumba, Saugata Bandyopadhiyay akimlisha keki mtoto  katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Mtoto  wa Afrika iliyofanyika katika Benki hiyo Tawi la Lumumba,Naibu Mkurugenzi huyo aliitaka jamii kuwawekea watoto akiba kwenye akaunti ya Junior Jumbo akaunti ambayo itawasaidia watoto baadae katika kutimiza malengo yao. Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya  CRDB, Tawi la Lumumba, Saugata Bandyopadhiyay akilishwa keki na Mkurugenzi wa Benki...

 

10 years ago

Michuzi

KIKUNDI CHA WANAWAKE CHA WOMEN WITH VISION WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA KATIKA MSIMU HUU WA PASAKA


Wanakikundi wa women with vision wakiongozwa na mwenyekiti wao Herieth Makombe  wakiwa katika kituo cha msimbaz centre walipofika na kutoa misaada ya baadhi ya mahitaji katika kuwakumbuka watoto yatima katika msimu huu wa sikukuu za pasaka 

Baadhi ya mahitaji ambao walitoa katika kituo cha msimbaz centre katika kuawajali watoto yatima wa vituo vya msimbaz centre na mburahati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani