WASANII WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA
Mponji akiwakabidhi watoto zawadi. Wasanii Kizibo wa kundi la Uaridi (mwenye tisheti nyekundu) akiwa na mwenzake wakibeba baadhi ya vifaa vya zawadi muda mfupi kabla ya kukabidhi. Baadhi ya vitu hivyo vilivyotolewa zawadi.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziZIMAMOTO IRINGA WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA
NA DENIS MLOWE,IRINGA
JESHI la Zimamoto mkoani Iringa limesheherekea sikukuu ya pasaka na watoto wanaoishi katika kituo cha kulea yatima cha Sister Theresia kilichoko Tosamaganga mkoani Iringa kwa kuwapatia misaada mbalimbali.
Akikabidhi msaada huo Kamanda wa Jeshi la Zimamoto mkoa wa Iringa Inspekta Kennedy...
11 years ago
Habarileo09 Feb
PSPF watoa misaada kwa watoto yatima wa Karoli Lwanga
MFUKO wa Pensheni wa Watumishi wa Umma (PSPF) umetoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo vya shule vyenye thamani ya Sh milioni nne kwa Kituo cha watoto yatima katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Karoli Lwanga Parokia ya Yombo Dovya, Dar es Salaam.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-gvPaAJIoW8I/VR-L2AdWKdI/AAAAAAAAVH8/y6Wox_0IqVg/s72-c/20150403_125339.jpg)
KIKUNDI CHA WANAWAKE CHA WOMEN WITH VISION WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA KATIKA MSIMU HUU WA PASAKA
![](http://3.bp.blogspot.com/-gvPaAJIoW8I/VR-L2AdWKdI/AAAAAAAAVH8/y6Wox_0IqVg/s1600/20150403_125339.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-boNwD70xdYw/VR-L2bAvAII/AAAAAAAAVIA/_-F2PDd38k8/s1600/20150403_125357.jpg)
10 years ago
GPLGLOBAL PUBLISHERS LTD YATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA SIKUKUU YA KRISMASI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-H8_xjP8YyvQ/VR_T7dBvM9I/AAAAAAAC2xw/dsNcfk3fzy4/s72-c/4.jpg)
MSAMA PROMOTIONS YAMWAGA MISAADA KWA VITUO SABA VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR KWA AJILI YA PASAKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-H8_xjP8YyvQ/VR_T7dBvM9I/AAAAAAAC2xw/dsNcfk3fzy4/s1600/4.jpg)
Tamasha la Pasaka linatimiza miaka 15 toka lianzishwe hapa nchini,ambapo...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-UWeQfkXcdEk/U7wfmv8GebI/AAAAAAAFyng/sUVLqcgnRAI/s72-c/unnamed.jpg)
Excel Management and Outsourcing Yatoa Misaada kwa Kituo cha watoto yatima msimbazi
![](http://4.bp.blogspot.com/-UWeQfkXcdEk/U7wfmv8GebI/AAAAAAAFyng/sUVLqcgnRAI/s1600/unnamed.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-NxGLX-Tf-Xo/U7wfmUq9iOI/AAAAAAAFyn0/qY4A7ko6P50/s1600/unnamed+%25281%2529.jpg)
10 years ago
GPLHIGH CLASS NA MKUBWA NA WANAWE WATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA
10 years ago
MichuziMKOA WA IDARA ZA SERIKALI NA MABALOZI WA NSSF WATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA
10 years ago
MichuziBANKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WATOA MISAADA KWA WATOTO WANAOLELEWA MSIMBAZI CENTER.
Baadhi ya Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water Front wakitoa misaada katika kituo cha kulelea watoto wa chini ya miaka minne(4) yatima katika kituo cha Msimbazi Chidrens Home kilichopo Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam leo.
Crediti manaja wa Benki ya CRDB, tawi la Water front, Isaya Lyimo akimpa maelekezo Sista wa kituo cha watoto yatima cha Msimbazi Chidrens Home kilichopo Msimbazi Centre, Sista Anna Marandu mara baada ya wafanykazi wa tawi hilo kutoa msaada wa vitu mbalimbali...