AFTER PARTY YA LADY IN RED YAFANA SANA JIJINI DAR
Mama wa Mitindo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions na wandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asia Idarous Khamsin akizungumza na wadau tasnia ya mitindo waliojumuika kwenye After Party ya kuwashukuru wadau waliotoa michango mbalimbali tangu kuanza kwa onyesho la Lady in Red nchini Tanzania.
Na Andrew Chale
HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya onesho la mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’ usiku wa Jumamosi Februari 22, lilikuwa la aina yake kwa kuvutia watu mbali mbali ndani ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Halfa ya Miaka 10 ya Lady in Red yafana
HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya Onesho la Mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’ ilifana juzi usiku kwa kuvutia watu mbalimbali ndani ya Ukumbi wa Nyumbani Lounge...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xI-Jr-F9f0I/VPI_91wgq2I/AAAAAAAHGqk/vPtRwWg4Zj0/s72-c/unnamed%2B(65).jpg)
HAFLA YA TANZANIA BLOGGERS NETWORK YAFANA SANA,SERENA HOTEL JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-xI-Jr-F9f0I/VPI_91wgq2I/AAAAAAAHGqk/vPtRwWg4Zj0/s1600/unnamed%2B(65).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-CzW7mDLraBg/VPI-CUWXX8I/AAAAAAAHGl0/OLsVthcyDww/s1600/DSC_0015.jpg)
10 years ago
Michuzi16 Feb
HAFLA YA KUMUAGA MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA NHIF BW. EMMANUEL HUMBA YAFANA SANA JIJINI DAR
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/150.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-dgBk6Xc5ZdM/VF9pA8sWs1I/AAAAAAAGwMA/saK2_x1JC6Q/s72-c/IMG_1903.jpg)
pre-wedding party ya jacqueline yafana sana
![](http://4.bp.blogspot.com/-dgBk6Xc5ZdM/VF9pA8sWs1I/AAAAAAAGwMA/saK2_x1JC6Q/s1600/IMG_1903.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-DAnw_NZlh-c/VF9pJR_CzgI/AAAAAAAGwMI/cjzWlK5Q0Bo/s1600/IMG_1906.jpg)
11 years ago
Michuzi24 Feb
AFTER PARTY YA LADY IN RED ILIKUWA BALAA WIKIENDI ILiyOPITA NYUMBANI LOUNGE
![DSC_0549](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0549.jpg)
Na Andrew Chale HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya onesho la mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-mWD_Ddtuaoo/VkC7JPCgSMI/AAAAAAAIFDk/ptHZpaftZJM/s72-c/Untitled1.png)
MAONYESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YAFANA SANA JIJINI MONTREAL, CANADA
Maonyesho hayo ambayo yamefanyika katika mahali maarufu la “la Place Bonaventure” katika jiji la hilo, ambalo liko upande wa Mashariki mwa Canada, eneo ambalo wengi wa wakazi wake...
10 years ago
Dewji Blog19 May
Party ya usiku wa marafiki wa Lowassa yafana jijini Arusha
Kada maarafu kupitia chama cha Mapinduzi CCM, Violet Mfuko akishow love na Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Nurdin Billal maarufu kama Shetta katika usiku wa marafiki wa Lowassa iliyofanyika katika ukumbi wa Triple A jijini Arusha.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nurdin Billal maarufu kama Shetta akicheza sambamba na Mkurugenzi wa kituo cha Radio 5 Robert Francis staili ya shikorobo juzi kwenye party ya usiku wa marafiki wa Lowassa ulifanyika katika ukumbi wa triple A jijini...
10 years ago
Dewji Blog22 Mar
#MBAR2015 Eleganza Fashion show Red carpet swagga and After Party @ Dar es Salaam Serena Hotel
Warembo waalikwa katika pozi la Ukodak.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, ambao ndio wadhamini wakuu wa#MBAR2015 Eleganza Show kupitia brand ya Mercedes Benz, Bw.Wayne McIntosh (kushoto) akipozi kwa picha na binti mrembo (katikati) aliyembatana na Mkurugenzi wa Hoteli ya Golden Tulip, Bw. Aatish Ladwa (kulia).
Mwandaaji wa Miss Universe Tanzania na Mkurugenzi wa Compass Communications, Maria Sarungi (kushoto) akipozi na msaidizi wake.
Mwandaaji wa Miss Universe Tanzania na...