AFTER PARTY YA LADY IN RED ILIKUWA BALAA WIKIENDI ILiyOPITA NYUMBANI LOUNGE
Mama wa Mitindo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions na mwandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asia Idarous Khamsin akizungumza na wadau wa tasnia ya mitindo waliojumuika kwenye After Party ya kuwashukuru wadau waliotoa michango mbalimbali tangu kuanza kwa onyesho la Lady in Red nchini Tanzania katika kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam Jumamozi ilopita.
Na Andrew Chale
HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya onesho la mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-jOei-iKNolY/UweY8Cjb_dI/AAAAAAAFOoU/EdLbHKAS3vw/s72-c/unnamed.jpg)
KILELE CHA MIAKA 10 YA ‘LADY IN RED’ KUFANYIKA NYUMBANI LOUNGE JUMAMOSI HII
![](http://2.bp.blogspot.com/-jOei-iKNolY/UweY8Cjb_dI/AAAAAAAFOoU/EdLbHKAS3vw/s1600/unnamed.jpg)
Na Andrew Chale KILELE cha Miaka 10 na ‘After Party’ ya onesho la mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’ kinatarajia kufikia tamati usiku wa Jumamosi, Februari 22, ndani ya Ukumbi ulio na mgahawa wa kisasa wa hadhi jijini Dar es Salaam, wa Nyumbani Lounge, huku kukitarajiwa kuwa na surprise mbali mbali kwa wadau watakaojitokeza. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, wandaaji wa Lady in...
11 years ago
Michuzi24 Feb
AFTER PARTY YA LADY IN RED YAFANA SANA JIJINI DAR
![DSC_0549](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0549.jpg)
Mama wa Mitindo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions na wandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asia Idarous Khamsin akizungumza na wadau tasnia ya mitindo waliojumuika kwenye After Party ya kuwashukuru wadau waliotoa michango mbalimbali tangu kuanza kwa onyesho la Lady in Red nchini Tanzania.
Na Andrew Chale HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya onesho la mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’ usiku wa Jumamosi Februari 22, lilikuwa la aina yake kwa kuvutia watu mbali mbali ndani ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-FZxXckcwoMY/VDvIKkZSoYI/AAAAAAADFbg/kgqOsIDvjnE/s72-c/IMG-20141013-WA001.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LFj6PgMFKBs/VN29MNuFKCI/AAAAAAAHDdQ/niRJaaB3dqM/s72-c/IMG-20150213-WA0001.jpg)
10 years ago
Vijimambo15 Feb
LADY IN RED 2015
Muandaaji wa tukio hilo ni mwanamitindo mkubwa hapa nchini Asya Idarous Khamsin ambaye naye aliweza kuonyesha mavazi yake ya yenye rangi nyekundu,...
11 years ago
Michuzi16 Feb
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Halfa ya Miaka 10 ya Lady in Red yafana
HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya Onesho la Mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’ ilifana juzi usiku kwa kuvutia watu mbalimbali ndani ya Ukumbi wa Nyumbani Lounge...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJBhAI51g-*Q*FCCg8GIRa4uoep6R-UZ7MN3qBJpBSr6ie4TOx1ecYccQQDyrbfhM4uvJOP65P1gYKxttOHHwH7F/aunt1.jpg?width=650)
SIMULIZI YA AUNT EZEKIEL: ILIKUWA AOLEWE AKIWA MDOGO, AKATOROKA NYUMBANI KWAO!