lady in red fashion show 2014
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziLady in red 2014 fashion show ilivyonoga
Kwa picha zaidi za Habari5 Blog BOFYA HAPA Pia BOFYA HAPA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-mGal7DikqDU/VNaZzuUwiRI/AAAAAAAHCZs/UF2ucM92scM/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
Dewji Blog22 Mar
#MBAR2015 Eleganza Fashion show Red carpet swagga and After Party @ Dar es Salaam Serena Hotel
Warembo waalikwa katika pozi la Ukodak.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, ambao ndio wadhamini wakuu wa#MBAR2015 Eleganza Show kupitia brand ya Mercedes Benz, Bw.Wayne McIntosh (kushoto) akipozi kwa picha na binti mrembo (katikati) aliyembatana na Mkurugenzi wa Hoteli ya Golden Tulip, Bw. Aatish Ladwa (kulia).
Mwandaaji wa Miss Universe Tanzania na Mkurugenzi wa Compass Communications, Maria Sarungi (kushoto) akipozi na msaidizi wake.
Mwandaaji wa Miss Universe Tanzania na...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MNLLcl9p_3E/UvurzxicuRI/AAAAAAAFMpI/E8X4-LUIoNM/s72-c/unnamed.jpg)
MSANII NEMO KUPIGA SHOO LADY IN RED 2014
![](http://4.bp.blogspot.com/-MNLLcl9p_3E/UvurzxicuRI/AAAAAAAFMpI/E8X4-LUIoNM/s1600/unnamed.jpg)
11 years ago
MichuziShukurani za Asia Idarous Khamsin kwa kuiunga mkono "Lady in RED" 2014
MAMA wa Mitindo nchini na Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin amewashukuru wadau mbali mbali kwa kuendelea kuliunga mkono onesho la Mitindo la kila mwaka la 'Lady in Red' ambalo kwa mwaka huu limetimiza miaka 10 tokea kuanzishwa kwake huku likiwa la mafanikio kwa kuibua wanamitindo wakubwa hapa nchini.
Akizungumza Dar es salaam, katika ofisi za Fabak zilizopo Msasani jirani na Kwa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam, Asia Idarous...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LFj6PgMFKBs/VN29MNuFKCI/AAAAAAAHDdQ/niRJaaB3dqM/s72-c/IMG-20150213-WA0001.jpg)
10 years ago
Vijimambo15 Feb
LADY IN RED 2015
Muandaaji wa tukio hilo ni mwanamitindo mkubwa hapa nchini Asya Idarous Khamsin ambaye naye aliweza kuonyesha mavazi yake ya yenye rangi nyekundu,...
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Halfa ya Miaka 10 ya Lady in Red yafana
HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya Onesho la Mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’ ilifana juzi usiku kwa kuvutia watu mbalimbali ndani ya Ukumbi wa Nyumbani Lounge...