Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


lady In red

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

LADY IN RED 2015

Ni tukio ambalo lili wakusanya wapenzi mbalimbali wa mitihndo hapa Tanzania na nje ya nchi ikiwa ni pamoja na Mh. Shy-Rose ambaye naye alikuwepo kwenye 'Lady in red' 2015 ambayo imefanyika 13 february 2015 usiku wa kuamkia Vallentine Day pale Nyumbani Lounge, ambapo mgeni rasmi alikuwa ni huyo Mbunge wa bunge la Africa Mashariki mh Shy-Rose Banji.
Muandaaji wa tukio hilo ni mwanamitindo mkubwa hapa nchini Asya Idarous Khamsin ambaye naye aliweza kuonyesha mavazi yake ya yenye rangi nyekundu,...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

Halfa ya Miaka 10 ya Lady in Red yafana

HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya Onesho la Mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’ ilifana juzi usiku kwa kuvutia watu mbalimbali ndani ya Ukumbi wa Nyumbani Lounge...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lady in Red kuadhimisha miaka 10 Valentine’s Day

WABUNIFU mbalimbali wanatarajiwa kupamba miaka 10 ya onesho la mavazi lijulikanalo kama Lady in Red Super Brand linalotarajiwa kufanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s...

 

11 years ago

Michuzi

Lady in red 2014 fashion show ilivyonoga

Miss Tanzania kwa mwaka 2013 na 2014 Hapiness Watimanywa akipozi katika Red Carpet ya Lady in Red Fashion show 2014 iliyofanyika Ijumaa katika ukumbi wa Serena jijini Dar es salaam
Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin  Mwandaaji wa onesho hilo
Mbunge mteule wa Bunge la Katiba Mhe Maria Sarungi-Tehai akihojiwa na Deo wa Nivana wa East Afrika Television aliyekuwa MC wa siku.
Asia akimkabidhi ua mumewe Bw. Khamsin
Kwa picha zaidi za Habari5 Blog BOFYA HAPA Pia BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

MIAKA 10 YA ONYESHO LA MITINDO LADY IN RED‏

Miaka 10 ya onyesho la ‘Lady in red’ Februari 14
Wabunifu mbalimbali kupamba.
Wanne Star, Babloom Trio Band kutumbuiza WABUNIFU mbali mbali kupamba  miaka 10 ya onyesho la mavazi lijulikanalo kama ‘Lady in Red Super  brand, 10th Anniversary’  linalotarajiwa kufanyika Februari  14,  ambapo pia litatumbuizwa na burudani kutoka kwa  Babloom Trio bendi na Wanne Star, kwenye Hoteli ya...

 

11 years ago

GPL

WABUNIFU ‘LADY IN RED’ FEBRUARI 14 HADHARANI

..Wamo  magwiji: Ally Remutulla, Mustapha Hassanal, Khadija Mwanamboka, Martin Kadinda
..Chipukizi wamo  Faustin Simon, Water Edward,Willex Willibard,  Jackson, Alabama King Na Andrew Chale
WABUNIFU mbali mbali watakaopamba miaka 10 ya onyesho la mavazi lijulikanalo kama ‘Lady in red Super brand, 10th Anniversary’ linalotarajiwa kufanyika Februari 14, tayari majina yao yamewekwa hadharani. Onyesho la mwaka...

 

11 years ago

Michuzi

MSANII NEMO KUPIGA SHOO LADY IN RED 2014

Na Andrew Chale MKALI wa R&B na Afro Pop, ambaye aliwahi pia kushiriki shindando la BSS, Nemo (pichani), anayetamba na wimbo wa ‘My Number One’ aliyomshirikisha Ommy Dimpoz anatarajia kupafomu kwenye shoo ya miaka 10 ya onyesho la mavazi lijulikanalo kama ‘Lady in red Super brand, 10th Anniversary’ linalotarajiwa kufanyika Februari 14, kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam.  Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions inayoandaa onyesho hilo , Asia Idarous Khamsin, alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani