MIAKA 10 YA ONYESHO LA MITINDO LADY IN RED
![](http://api.ning.com:80/files/ivj69U0teRRWPgFHB6cvfMqj92jVh3FODutzbpBuANgyHxLJTbzH8DK6zYp7SAEGXKwY*Qy0021c0H8qsvjJLnTvymYab8UU/LadyinRedFinal.jpg?width=650)
Miaka 10 ya onyesho la ‘Lady in red’ Februari 14 Wabunifu mbalimbali kupamba. Wanne Star, Babloom Trio Band kutumbuiza WABUNIFU mbali mbali kupamba miaka 10 ya onyesho la mavazi lijulikanalo kama ‘Lady in Red Super brand, 10th Anniversary’ linalotarajiwa kufanyika Februari 14, ambapo pia litatumbuizwa na burudani kutoka kwa Babloom Trio bendi na Wanne Star, kwenye Hoteli ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](https://lh5.googleusercontent.com/-ezGt3IgQkvw/UQot4aqxDOI/AAAAAAAAbGU/c96tgyI-prM/s72-c/blogger-image--1723282408.jpg)
MAMA WA MITINDO ASiA IDAROUS-KHAMSINI AONGELEA MAANDALIZI YA LADY IN RED KESHO
![](https://lh5.googleusercontent.com/-ezGt3IgQkvw/UQot4aqxDOI/AAAAAAAAbGU/c96tgyI-prM/s640/blogger-image--1723282408.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Halfa ya Miaka 10 ya Lady in Red yafana
HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya Onesho la Mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’ ilifana juzi usiku kwa kuvutia watu mbalimbali ndani ya Ukumbi wa Nyumbani Lounge...
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Lady in Red kuadhimisha miaka 10 Valentine’s Day
WABUNIFU mbalimbali wanatarajiwa kupamba miaka 10 ya onesho la mavazi lijulikanalo kama Lady in Red Super Brand linalotarajiwa kufanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-jOei-iKNolY/UweY8Cjb_dI/AAAAAAAFOoU/EdLbHKAS3vw/s72-c/unnamed.jpg)
KILELE CHA MIAKA 10 YA ‘LADY IN RED’ KUFANYIKA NYUMBANI LOUNGE JUMAMOSI HII
![](http://2.bp.blogspot.com/-jOei-iKNolY/UweY8Cjb_dI/AAAAAAAFOoU/EdLbHKAS3vw/s1600/unnamed.jpg)
Na Andrew Chale KILELE cha Miaka 10 na ‘After Party’ ya onesho la mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’ kinatarajia kufikia tamati usiku wa Jumamosi, Februari 22, ndani ya Ukumbi ulio na mgahawa wa kisasa wa hadhi jijini Dar es Salaam, wa Nyumbani Lounge, huku kukitarajiwa kuwa na surprise mbali mbali kwa wadau watakaojitokeza. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, wandaaji wa Lady in...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LFj6PgMFKBs/VN29MNuFKCI/AAAAAAAHDdQ/niRJaaB3dqM/s72-c/IMG-20150213-WA0001.jpg)
10 years ago
Vijimambo15 Feb
LADY IN RED 2015
Muandaaji wa tukio hilo ni mwanamitindo mkubwa hapa nchini Asya Idarous Khamsin ambaye naye aliweza kuonyesha mavazi yake ya yenye rangi nyekundu,...
11 years ago
Michuzi16 Feb
11 years ago
MichuziLady in red 2014 fashion show ilivyonoga
Kwa picha zaidi za Habari5 Blog BOFYA HAPA Pia BOFYA HAPA