KILELE CHA MIAKA 10 YA ‘LADY IN RED’ KUFANYIKA NYUMBANI LOUNGE JUMAMOSI HII
![](http://2.bp.blogspot.com/-jOei-iKNolY/UweY8Cjb_dI/AAAAAAAFOoU/EdLbHKAS3vw/s72-c/unnamed.jpg)
.Kutolewa vyeti maalum
..wadau kukata keki ya pamoja
..Slim kutumbuiza
Na Andrew Chale
KILELE cha Miaka 10 na ‘After Party’ ya onesho la mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’ kinatarajia kufikia tamati usiku wa Jumamosi, Februari 22, ndani ya Ukumbi ulio na mgahawa wa kisasa wa hadhi jijini Dar es Salaam, wa Nyumbani Lounge, huku kukitarajiwa kuwa na surprise mbali mbali kwa wadau watakaojitokeza.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, wandaaji wa Lady in...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi24 Feb
AFTER PARTY YA LADY IN RED ILIKUWA BALAA WIKIENDI ILiyOPITA NYUMBANI LOUNGE
![DSC_0549](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0549.jpg)
Na Andrew Chale HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya onesho la mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-FZxXckcwoMY/VDvIKkZSoYI/AAAAAAADFbg/kgqOsIDvjnE/s72-c/IMG-20141013-WA001.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Halfa ya Miaka 10 ya Lady in Red yafana
HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya Onesho la Mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’ ilifana juzi usiku kwa kuvutia watu mbalimbali ndani ya Ukumbi wa Nyumbani Lounge...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ivj69U0teRRWPgFHB6cvfMqj92jVh3FODutzbpBuANgyHxLJTbzH8DK6zYp7SAEGXKwY*Qy0021c0H8qsvjJLnTvymYab8UU/LadyinRedFinal.jpg?width=650)
MIAKA 10 YA ONYESHO LA MITINDO LADY IN RED
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Lady in Red kuadhimisha miaka 10 Valentine’s Day
WABUNIFU mbalimbali wanatarajiwa kupamba miaka 10 ya onesho la mavazi lijulikanalo kama Lady in Red Super Brand linalotarajiwa kufanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s...
9 years ago
Bongo528 Aug
Fainali za ‘The Jump Off Michano’ kufanyika Jumamosi hii
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
Pop Up Bongo kufanyika Jumamosi hii Triniti Oysterbay Dar
![](http://1.bp.blogspot.com/-hFJp_lVmeIc/VlP8Zq0exnI/AAAAAAAAL80/LWjmojgQGi8/s640/Mbili.jpg)
Nuya Essence.
![](http://3.bp.blogspot.com/-_INDtSQ1jpE/VlP8aQISA6I/AAAAAAAAL88/HJngUSr5Hfo/s640/Moja.jpg)
Founder of Branoz Collection Bahati Abraham with customers.
![](http://4.bp.blogspot.com/-SqT2ohdtK54/VlP8bXkLpfI/AAAAAAAAL9E/KM6BASJWO2s/s640/nne.jpg)
Secret Habits Seller servings customers.
![](http://4.bp.blogspot.com/--C0fLaJhH3k/VlP8ZTwD8lI/AAAAAAAAL8w/Sbsq9VsD_6c/s640/Tatu.jpg)
Pediah John, Founder of PSJ Brand with customers.
Na Mwandishi Wetu
WASANII mbalimbali wa muziki na maigizo pamoja na wadau wengine wa biashara watajumuika pamoja Triniti, Oysterbay katika tamasha la biashara za bidhaa mbalimbali, Pop Up Bongo.
Tamasha hilo linalofanyika kila baada ya miezi mitatu ni la siku moja na mwaka huu litafanyika tarehe 28 likiwa chini ya...
9 years ago
Bongo527 Nov
Instagram Party kufanyika Jumamosi hii, Escape One Mikocheni, Dar
![Ag_upG8RHDvxtgw049D3N_4KnhUuVGyYi-ODr2rgwrDk](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Ag_upG8RHDvxtgw049D3N_4KnhUuVGyYi-ODr2rgwrDk-300x194.jpg)
KAMPUNI ya Freconic Ideaz, imeandaa tamasha la burudani la ‘Instagram party’ litakalofanyika Jumamosi hii maeneo ya Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam likiwa na lengo la kuwakumbusha wapenzi wa muziki, mavazi na misemo ya kizamani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Freconic ideaz, Fred Ngimba akifafanua jambo alipokuwa anaongea na waandishi wa habari Ijumaa hii katika fukwe za Escape One kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya tamasha kubwa la burudani litakalofanyika jumamosi hii tarehe 28...