Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAFLA YA TANZANIA BLOGGERS NETWORK YAFANA SANA,SERENA HOTEL JIJINI DAR

Sehemu ya Wamiliki wa Blogs mbali mbali hapa nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya mwaka kwa Tanzania Bloggers Network,ambaye ni Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),Ndg. Kajubi Mukajanga pamoja na baadhi ya wadhamini waliofanikisha hafla hiyo,iliyofanyika usiku huu kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya mwaka kwa Tanzania Bloggers Network,Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),Ndg. Kajubi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mnuso wa Tanzania Bloggers Network (TBN) funika bovu dar es salaam serena hotel usiku huu

Mgeni Rasmi Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Mhe Kajubi Mukajanga (kati) akiwa na Ankal na Anko John KitimeKutoka kushoto ni Woinde Shizza, Othman Michuzi, Pam Mollel, Zainul Mzige  na Karim Mgeni Rasmi Mhe Kajubi Mukajanga akikata ndafu wa TBN. Kushoto kwake ni mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani na kulia ni Kelvin Twissa, Mdhamini mkuu wa Mnuso huo pamoja  na Rachel Pallangyo wa TBNMkuu wa ukumbi (floor manager) Monica Joseph Mara akiongoza wana TBN kuserebuka
 Ankal akiwa na...

 

10 years ago

Michuzi

TEAM MICHUZI PRODUCTION YAREKODI KWA WELEDI WA HALI YA JUU MNUSO WA TANZANIA BLOGGERS PARTY SERENA HOTEL JIJINI DAR ES SALAAM

Ankal akiwa na Mkurugenzi Mkuu MD wa Michuzi Media Group Mama Sellah (kulia kwake) pamoja na kikosi kazi cha Team Michuzi Production chini ya Production Manager Barbra Kilugira (wa tatu kushoto) ambayo ilipata heshima ya kurekodi mnuso wa kihistoria wa Tanzania Bloggers Network (TBN) Meet and greet Party katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia March 1, 2015. Mnuso huu ulifanikiwa sana kwa udhamini mkubwa wa VODACOM TANZANIA (wadhamini wakuu), NMB, COCACOLA, RAHA.COM,...

 

10 years ago

Vijimambo

TEAM MICHUZI PRODUCTION YAREKODI KWA WELEDI WA HALI YA JUU MNUSO WA TANZANIA BLOGGERS PARTY SERENA HOTEL JIJINI DAR ES SALAAM

Ankal akiwa na MD wa Michuzi Media Group (kulia kwake) pamoja na kikosi kazi cha Team Michuzi Production chini ya Production Manager Barbra Kilugira (wa tatu kushoto) ambayo ilipata heshima ya kurekodi mnuso wa kihistoria wa Tanzania Bloggers Network (TBN) Meet and greet Party katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia March 1, 2015. Mnuso huu ulifanikiwa sana kwa udhamini mkubwa wa VODACOM TANZANIA (wadhaini wakuu), NMB, COCACOLA, RAHA.COM na SERENA HOTEL. 

 

10 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUMUAGA MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA NHIF BW. EMMANUEL HUMBA YAFANA SANA JIJINI DAR

1Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mzee Emannuel Humba akionyesha tuzo yake aliyopewa na mfuko huo kwa kutambua mchango wake akiwa mwanzilishi wa mfuko huo wakati wa hafla ya kuwaaga viongozi na wafanyakazi wastaafu iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki , Mzee Emannuel Humba aliwaasa wafanyakazi wa mfuko huo kushikamana na kufanya kazi kwa kujituma ili kuhakikisha mfuko huo unafikia malengo, Katika hafla hiyo...

 

11 years ago

GPL

HAFLA YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA YAFANA VIWANJA VYA IKULU‏ JIJINI DAR

  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein wakiwalisha keki wake zao katika hafla hiyo. Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein wakikata keki katika…

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA BLOGGERS KUHUSU UANDIKISHAJI WANACHAMA 'TANZANIA BLOGGERS NETWORK' (TBN)

Chama cha Wamiliki/ Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' - TBN   kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika 
 ni wamiliki na waendeshaji wote wa mitandao ya kijamii (blogs na forums) Tanzania na Watanzania  wanaofanya kazi kama hiyo nje ya nchi.


Sifa kuu kwa mwanachama ni kuwa na blog ambayo ina umri wa miezi sita tangu ianze kuendeshwa  mfululizo. Kwa wa kazi wa Dar es Salaam wenye sifa ambao wanataka...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete katika hafla ya kongamano la pili la Diaspora Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wakati alipowasili hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo kuhudhuria hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Kushoto mwenye kanzu ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC Rais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wengine katika  hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA VUGUVUGU NCHINI BURUNDI AONGEA NA WANAHABARI HOTEL YA SERENA JIJINI DAR.

Kikao Kikiwa kinaendelea Jana usiku
Mwenyekiti wa Vuguvugu kutoka nchini Burundi Bw. Mugwengezo Chauvineau akiongea na waandishi wa Habari  Serena Hotel Dar jana usiku .
Dkt. Christine Mbunyingingo Mwenyekiti wa wanawake na wasichana katika harakati za usawa Nchini Burundi, Akiongea na waandishi wa Habari jana usiku . 

***** Mwenyekiti wa vuguvugu za Maandamano Burundi kwa Mara ya kwanza amefika Nchini Tanzania ili kuweza kushuhudia Mkutano wa Dharula kati ya viongozi watano wa Jumuia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani