Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAFLA YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA YAFANA VIWANJA VYA IKULU‏ JIJINI DAR

  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein wakiwalisha keki wake zao katika hafla hiyo. Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein wakikata keki katika…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Hafla ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania yafana Viwanja vya Ikulu

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein wakikata keki katika sherehe ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa na Mwalimu J.K.Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume Aprili 26 mwaka 1964 hafla hiyo iilifanyika jana kwenye viwanja vya Ikulu na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais Dr. Gharib Bilal, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Seif Ali Idd, Waziri Mkuu Tanzania Mh. Mizengo Pinda na viongozi...

 

10 years ago

Michuzi

HAFLA YA TANZANIA BLOGGERS NETWORK YAFANA SANA,SERENA HOTEL JIJINI DAR

Sehemu ya Wamiliki wa Blogs mbali mbali hapa nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya mwaka kwa Tanzania Bloggers Network,ambaye ni Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),Ndg. Kajubi Mukajanga pamoja na baadhi ya wadhamini waliofanikisha hafla hiyo,iliyofanyika usiku huu kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya mwaka kwa Tanzania Bloggers Network,Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),Ndg. Kajubi...

 

11 years ago

Michuzi

Maadhimisho sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania yafana jijini Kuala Lumpur,Malaysia

Watanzania waishio nchini Malaysia hivi karibuni walikutana pamoja katika hafla ya kusherehekea maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania zilizofanyika katika Hotel ya Prince jijini Kuala Lumpur- Malaysia,chini ya uongozi wa Balozi Dr. Aziz Ponary Mlima. Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo alikuwa ni Naibu Waziri wa Usafiri na Uchukuzi wa Malaysia Dato Ab. Aziz Kaprawi. Balozi wa Tanzania nchini Malaysia,Dr. Aziz Ponary Mlima pamoja na Maafisa wa Ubalozi wakiwakaribisha wageni waalikwa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kufanyika Oktoba viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar

Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Bw. Alvaro Rodriguez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya sherehe za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa pamoja na kutolea ufafanuzi malengo 17 ya maendeleo endelevu (SDGs) yenye lengo la kufuta kabisa umaskini.(Picha zote ne Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).

DSC_0181

Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Hassan Simba Yahya akizungumza na waandishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara yafana jijini Dar leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mikono wananchi waliofurika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara akiwa katika Gari maalum liliozunguuka katika uwanja huo leo.Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Jenerali Davis Mwamunyange.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lilioandaliwa katika...

 

10 years ago

GPL

MASHINDANO YA MTEMVU CUP YAZINDULIWA RASMI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR‏

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema (wa pili kulia), akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa CCM Kata ya Azimio, Essa Uswege kwa ajili ya mashindano ya Mtemvu Cup yaliyozinduliwa  jijini Dar es Salaam jana jioni. Kulia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu aliyeanzisha mashindano hayo na kushoto ni Diwani wa Kata ya Azimio, Hamisi Mzuzuri.  Mbunge wa Temeke, Abbas Abbas Mtemvu...

 

10 years ago

GPL

MAHAFALI YA 12 YA CHUO CHA UHASIBU TANZANIA (TIA) YAFANA, JIJINI DAR ES SALAAM‏

Kikosi cha band cha Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo.
 Wahadhiri wa Taasisi hiyo pamoja na mgeni rasmi wakiandamana kwenda uwanjani tayari kwa hafla hiyo.…

 

9 years ago

GPL

SWALA YA IDD EL HAJI ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏

Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Waislam wa Tanzania leo waliungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya Idd El Haji. Swala ikifanyika kwa unyenyekevu mkubwa. Sheikh Nurudin Kishki alitohotuba baada ya swala hiyo.…

 

10 years ago

Vijimambo

TAFRIJA YA MIAKA 24 YA MUUNGANO WA UJERUMANI YAFANA DAR

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke (katikati) na mkewe Wendy Marshall Kochanke wakimkaribisha mfanyabiashara mashuhuli Sir Andy Chande katika tafrija ya kusherehekea Miaka 24 ya Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani, iliyofanyika nyumbani kwa Balozi huyo, Kenyatta Drive Oysterbay jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. PICHA ZOTE/JOHN BADI Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke (kulia) naakikaribisha wageni katika tafrija...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani