TAARIFA KWA BLOGGERS KUHUSU UANDIKISHAJI WANACHAMA 'TANZANIA BLOGGERS NETWORK' (TBN)
![](http://4.bp.blogspot.com/-PHlTBLRI_Sc/VTif7Czm57I/AAAAAAABMUc/sRMpiL3FTwk/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
Chama cha Wamiliki/ Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' - TBN kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika
ni wamiliki na waendeshaji wote wa mitandao ya kijamii (blogs na forums) Tanzania na Watanzania wanaofanya kazi kama hiyo nje ya nchi.
Sifa kuu kwa mwanachama ni kuwa na blog ambayo ina umri wa miezi sita tangu ianze kuendeshwa mfululizo. Kwa wa kazi wa Dar es Salaam wenye sifa ambao wanataka...
Vijimambo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania