Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waethiopia 42 wadakwa Dar

Polisi Mkoa wa Kinondoni Dar es Salaam, wanawashikilia raia 42 wa Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini na kuishi bila ya kuwa na vibali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Waethiopia 47 wadakwa Msitu wa Mwidu Pwani

Raia 47 wa Ethiopia wamekamatwa katika Msitu wa Mwidu ulioko eneo la Chalinze wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani.

 

9 years ago

Mwananchi

Matapeli 15 wa viwanja wadakwa

Zaidi ya watu 15 wamekamatwa kwa tuhuma za uvamizi na uuzaji wa viwanja vya watu katika Mtaa wa Kulangwa, Kata ya Goba Manispaa ya Kinondoni katika kipindi cha wiki moja.

 

10 years ago

Mwananchi

Warundi wadakwa na meno 25 ya tembo

Polisi mkoani Katavi wanawashikilia watu wawili raia wa Burundi kwa tuhuma za kuwakuta na meno ya tembo 25 yakiwa na uzito wa kilo 42 yenye thamani ya Sh148 milioni.

 

11 years ago

KwanzaJamii

WAHAMIAJI HARAMU 21 WADAKWA MAKAMBAKO

IDARA ya Uhamiaji mkoani hapa, imewakamata wahamiaji haramu 21 kutoka nchi ya Ethiopia walioingia nchini kwa kutumia roli la kubebea saruji katika eneo Mashujaa mjini Makambako. Naibu Kamishna wa Idara ya Uhamiaji, Rose Mhagama alisema wahamiaji hao walikamatwa Agosti 14, mwaka huu, saa 12:30 jioni wakati kikosi cha uhamiaji kikiwa katika doria. Mhagama alisema kuwa kikosi hicho kilifanikiwa kubaini lori lililowabeba likitokea Makambako kuelekea Songea lenye namba za usajili T587 CSN likiwa...

 

11 years ago

Habarileo

Wasicha wadakwa na Heroine za mil. 135/-

WASICHANA wawili raia wa Tanzania wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakihusishwa na pipi 187 za dawa za kulevya aina ya heroin zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 135 walizokuwa wamezimeza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waethiopia 11 wakamatwa Pwani

JESHI la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu 11 wanaodaiwa kuwa raia wa Ethiophia kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sharia. Waethiophia hao walikamatwa juzi, saa tisa usiku, katika kijiji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waethiopia 76 watiwa mbaroni

IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro kwa kusadiana na Jeshi la Polisi imewanasa wahamiaji haramu 76 raia wa Ethiopia walioingia nchini kinyume cha sheria wakiwa katika harakati za kutaka kusafirishwa...

 

10 years ago

Habarileo

Waethiopia 63 watiwa mbaroni

Kundi la wahamiaji haramu 63 likiwa chini ya ulinzi katika kijiji cha Kidoka wilaya ya Chemba mkoani Dodoma baada ya kukamatwa na polisi kwa kuingia nchini bila hati. Mmoja wa wahamiaji hao alikutwa amekufa. (Na Mpigapicha Wetu).JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia raia 63 wa Ethiopia na maiti mmoja ambao walikuwa wakisafirishwa na dereva Mtanzania kutoka Moshi kwenda Mbeya kwa kupitia njia za panya.

 

11 years ago

Michuzi

majambazi watatu kati ya wanne wadakwa zanzibar

Na Mohammed Mhina,  wa Jeshi la Polisi- Zanzibar Makachero wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kuzikamata silaha mbili na risasi 40 za Kivita zinazosadikiwa kutumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu likiwemo la mauaji ya Askari Polisi mmoja lililotokea Machi 2, mwaka huu huko kwenye Hoteli ya Kitalii ya Pongwe Bay mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar.  Katika tukio hilo Askari Polisi mmoja mwenye namba F.5607 Koplo Mohammed Mjombo(44) aliuawa huku mwenzake mwingine mwenye namba F.6198...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani