Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matapeli 15 wa viwanja wadakwa

Zaidi ya watu 15 wamekamatwa kwa tuhuma za uvamizi na uuzaji wa viwanja vya watu katika Mtaa wa Kulangwa, Kata ya Goba Manispaa ya Kinondoni katika kipindi cha wiki moja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Waethiopia 42 wadakwa Dar

Polisi Mkoa wa Kinondoni Dar es Salaam, wanawashikilia raia 42 wa Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini na kuishi bila ya kuwa na vibali.

 

10 years ago

Mwananchi

Warundi wadakwa na meno 25 ya tembo

Polisi mkoani Katavi wanawashikilia watu wawili raia wa Burundi kwa tuhuma za kuwakuta na meno ya tembo 25 yakiwa na uzito wa kilo 42 yenye thamani ya Sh148 milioni.

 

10 years ago

KwanzaJamii

WAHAMIAJI HARAMU 21 WADAKWA MAKAMBAKO

IDARA ya Uhamiaji mkoani hapa, imewakamata wahamiaji haramu 21 kutoka nchi ya Ethiopia walioingia nchini kwa kutumia roli la kubebea saruji katika eneo Mashujaa mjini Makambako. Naibu Kamishna wa Idara ya Uhamiaji, Rose Mhagama alisema wahamiaji hao walikamatwa Agosti 14, mwaka huu, saa 12:30 jioni wakati kikosi cha uhamiaji kikiwa katika doria. Mhagama alisema kuwa kikosi hicho kilifanikiwa kubaini lori lililowabeba likitokea Makambako kuelekea Songea lenye namba za usajili T587 CSN likiwa...

 

11 years ago

Habarileo

Wasicha wadakwa na Heroine za mil. 135/-

WASICHANA wawili raia wa Tanzania wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakihusishwa na pipi 187 za dawa za kulevya aina ya heroin zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 135 walizokuwa wamezimeza.

 

10 years ago

Mwananchi

Waethiopia 47 wadakwa Msitu wa Mwidu Pwani

Raia 47 wa Ethiopia wamekamatwa katika Msitu wa Mwidu ulioko eneo la Chalinze wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani.

 

11 years ago

Michuzi

majambazi watatu kati ya wanne wadakwa zanzibar

Na Mohammed Mhina,  wa Jeshi la Polisi- Zanzibar Makachero wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kuzikamata silaha mbili na risasi 40 za Kivita zinazosadikiwa kutumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu likiwemo la mauaji ya Askari Polisi mmoja lililotokea Machi 2, mwaka huu huko kwenye Hoteli ya Kitalii ya Pongwe Bay mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar.  Katika tukio hilo Askari Polisi mmoja mwenye namba F.5607 Koplo Mohammed Mjombo(44) aliuawa huku mwenzake mwingine mwenye namba F.6198...

 

11 years ago

Michuzi

watatu wadakwa na madaya ya kulevya, nyaya ya TTCL mkoani lindi

Na Abdulaziz Video, Lindi  Watu watatu wanashikiliwa na Polisi Mkoani Lindi kwa tuhuma za kukutwa  na madawa ya kulevya aina ya heroin pamoja na Miundo mbinu ya Kampuni ya simu kinyume na Sheria. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Kamishna msaidizi Renatha Mzinga amesema leo kuwa kwa ushirikiano mkubwa waliopewa na wanajamii wamefanikiwa kumkamata Bw Salum Shaban Mapande(32)Mkazi wa Dar es sallam akiwa na madawa ya kulevya kete 42 kubwa na ndogo 104 zenye uzito wa Gram 58 na pesa taslim tsh...

 

9 years ago

Michuzi

WAHAMIAJI HARAMU 62 KUTOKA ETHIOPIA WADAKWA LINDI BAADA YA AJALI YA GARI LAO

Wahamiaji haramu wawili kutoka Ethiopia  wafariki na wengine 60 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Lindi baada ya kubainika mara tu Gari ambalo walikuwa wakisafiria kugongwa na Basi la Jailan Jana Mjini Lindi.Gari ambalo walikuwa wakisafiria wahamiaji haramu kutoka Ethiopia baada ya kugongwa na Basi la Jailan jana Mjini Lindi.Wahamiaji haramu kutoka Ethiopia wakiwa chini ya Ulinzi kwenye makao makuu ya Uhamiaji mkoani Lindi.Wahamiaji haramu kutoka Ethiopia wakiwa chini ya Ulinzi kwenye...

 

5 years ago

Michuzi

KINARA USAMBAZAJI ZANA HARAMU ZA UVUVI MBARONI MWANZA, POLISI WANNE WADAKWA KWA RUSHWA


NA BALTAZAR MASHAKA,Mwanza
KIGOGO na kinara wa uingizaji na usambazaji wa zana haramu za uvuvi katika Ziwa Victoria , Jeremiah Asama ( 48),mkazi wa Bwiru, Manispaa ya Ilemela  ni miongoni mwa watu sita wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi  jijini Mwanza, huku mtuhumiwa wa saba  akidaiwa kutoroka.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro alisema juzi wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu  kukamatwa kwa watu hao wakiwemo askari wanne wa jeshi hilo wanaodaiwa kukiuka maadili ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani