Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema Moshi vijijini warudisha fomu za kuwania ubunge na udiwani

Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Moshi vijijini,Godlisen Maramia akipokea fomu kutoka kwa Deogratius Mushi ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi vijijini wakati aliporudisha katika ofisi za chama hicho zilizopo Majengo. Mwenyekiti wa Chadema jimbo la Moshi vijijini ,Godlisen Maramia akimpongeza mtia nia Deuogratius Mushi kwa uamuzi wa kuingia katika kinya’ng’anyiri cha kuwania nafasi hiyo. Mushi akipongezwa na makada wengine wa Chadema waliofika kumsindikiza ofisnini hapo.

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Chadema warudisha fomu za kuwania ubunge Bunda

JUMLA ya wanachama 10 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambao ni kati ya wanachama 13 waliokuwa wamechukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo la Bunda, kupitia tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, wamerudisha fomu.

 

10 years ago

Habarileo

Chadema yapangua ratiba fomu za ubunge, udiwani

Dk Willbrod SlaaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelazimika kupangua ratiba ya awali ya uchukuaji fomu za ubunge na udiwani kwa wanachama wake, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza majimbo mapya 26 ya uchaguzi hivi karibuni.

 

10 years ago

Dewji Blog

Waliokatwa kuwania ubunge, udiwani CCM Singida wakimbilia Chadema

DSC00994

Katibu wa CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya chama hicho kuhamwa na Mwenyekiti wake wa mkoa, Mgana Izumbe Msindai aliyehamia CHADEMA.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

KURA  za maoni nafasi ya udiwani,ubunge wa viti maalum na ule  wa majimbo CCM  mkoani Singida, zimeacha malalamiko na maumivu mengi,ambayo ni pamoja na kuhamwa na wananchama wake wengi akiwemo Mwenyekiti wake wa mkoa, Mgana Izumbe Msindai na...

 

10 years ago

Michuzi

WANA CCM KIBAO WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI

Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini, Priscus Tarimo, akikabidhiwa fomu ya nafasi hiyo na katibu wa CCM manispaa ya Moshi, Loth Ole Nesele katika ofis za chama hicho za Wilaya ya Moshi mjini.Naibu kamanda wa Vijana wa CCM, manispaa ya Moshi, Edmund Rutaraka akipokea fomu ya kuwania nafasi ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kutoka kwa katibu msaidizi wa CCM wilaya ya Moshi mjini,Donatha Mushi.Kada wa Chama cha Mapinduzi manispaa ya Moshi Daudi Mrindoko akiwa...

 

9 years ago

Vijimambo

BENSON KIGAILA WA CHADEMA, ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE DODOMA MJINI

Mkurungenzi wa Oganezesheni na Mafunzo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Benson Kigaira akiwa kwenye gari la wazi akipungia wafuasi wa chama hicho, wakati akielekea kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania ubunge jimbo la Dodoma mjini leo Jumatatu Agosti 17, 2015Kigaila, akipokea fomu kutoka kwa afisa wa CHADEMA mkoani Dodoma, Elizabeth Gumbo

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA MOSHI MJINI WAMPITISHA JAFARY MICHAEL KUWANIA UBUNGE WA JIMBO HILO

Wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Moshi mjini wakiwa katika mkutano maalumu wa kumchagua mtia nia atakaye peperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu nafasi ya Ubunge jimbo la Moshi mjini.
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge anayemaliza muda wake,Philemoni Ndesamburoakizungumza wakati wa mkutano huo.
Jafary Michael aliye chaguliwa na Chadema kupeperusha Bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwezi oktoba katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

JUST IN: Saed Kubenea achukua fomu ya kuwania ubunge kwa tiketi ya Chadema jimbo la Ubungo

kubenea-mpoki

Mwanahabari mkongwe Saed Kubenea (pichani) achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge kupitia Chadema jimbo la Ubungo.

Saed Kubenea ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Ltd., inayochapisha magazeti ya MwanaHALISI; MSETO; MwanaHALISI Online na MwanaHALISI Forum na ndiye mmiliki wa kampuni hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Fomu za ubunge, udiwani CCM leo

Makao Makuu ya CCM mjini DodomaBAADA ya mchuano wa kuwania uteuzi wa kugombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM uliomalizika kwa Dk John Magufuli kuibuka mshindi, kwa wiki moja kuanzia leo joto la siasa linatarajiwa kuhamia kwa makada wa chama hicho wanaowania kuteuliwa kuwania ubunge na udiwani kote nchini.

 

10 years ago

Michuzi

MDAU EMMA BARNABAS ACHUKUA FOMU KUWANIA UDIWANI KATA YA KIPAWA

 Kada wa chama cha mapinduzi Emmanuel Barnabas Maro anayewania kuteuliwa na chama chake kugombea nafasi ya udiwani katika kata ya Kipawa wilayani Ilala jijini Dar akionesha fomu alizokabidhiwa leo na Katibu wa CCM wa kata ya Kipawa Amina Sebo hayupo pichani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani