Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliokatwa kuwania ubunge, udiwani CCM Singida wakimbilia Chadema

DSC00994

Katibu wa CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya chama hicho kuhamwa na Mwenyekiti wake wa mkoa, Mgana Izumbe Msindai aliyehamia CHADEMA.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

KURA  za maoni nafasi ya udiwani,ubunge wa viti maalum na ule  wa majimbo CCM  mkoani Singida, zimeacha malalamiko na maumivu mengi,ambayo ni pamoja na kuhamwa na wananchama wake wengi akiwemo Mwenyekiti wake wa mkoa, Mgana Izumbe Msindai na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Chadema Moshi vijijini warudisha fomu za kuwania ubunge na udiwani

Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Moshi vijijini,Godlisen Maramia akipokea fomu kutoka kwa Deogratius Mushi ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi vijijini wakati aliporudisha katika ofisi za chama hicho zilizopo Majengo. Mwenyekiti wa Chadema jimbo la Moshi vijijini ,Godlisen Maramia akimpongeza mtia nia Deuogratius Mushi kwa uamuzi wa kuingia katika kinya’ng’anyiri cha kuwania nafasi hiyo. Mushi akipongezwa na makada wengine wa Chadema waliofika kumsindikiza ofisnini hapo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kada CCM ajing’oa, kuwania ubunge kupitia Chadema

IMG_20141212_123949

Mapokezi ya Fransico Kimasa Shejamabu (mwenye gwanda) akielekea katika viwanja vya shule ya msingi Pambalu wilayani Sengerema kuhutubia wananchi. (picha zote na Daniel Makaka wa MOblog, Sengerema).

Na Daniel Makaka, Sengerema.

Aliyekuwa kada wa wa Chama cha Mapinduzi CCM wilaya Sengerema mkoani Mwanza  Bw. Fransico Kimasa Shejamabu  ametangaza nia ya kuwania ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)ambacho amejiunga nacho.

Kauli hiyo ameitoa mjini hapa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kijana UVCCM atangaza nia ya kuwania Udiwani kata ya Ilunda, lengo ni kurejesha kata CCM, inayongozwa na Chadema

EMBELE

Kijana Mohamed Embele (38) ambaye ametangaza nia ya kurejesha Kata ya Ilunda (CCM), hivi sasa Kata hiyo inaongozwa na Diwani wa CHADEMA Long’ida Ole Looda.

Na Hillary Shoo, Mkalama

KAMANDA  wa UVCCM wa Kata ya Ilunda Tarafa ya Nduguti Wilayani Mkalama Mkoani Singida, Mohamed Embele (38) ametangaza rasmi nia yake ya kutaka kugombea nafasi ya Udiwani kwenye Kata hiyo katika uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2015.

Akizungumza katika mahojiano maalumu wakati wa kufunga kambi ya vijana wa Wilaya ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA CUF MAALIM SEIF AWAPA SOMO WALIOONYESHA NIA YA KUWANIA UBUNGE, UWAKILISHI NA UDIWANI UNGUJA

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wagombea wa Uwakilishi, Ubunge na Udiwani wa CUF katika ukumbi wa Majid, Kiembesamaki. Mkurugenzi wa Mipango na Chaguzi wa CUF Omar Ali Shehe akizungumza katika mkutano na wagombea wa Uwakilishi, Ubunge na Udiwani wa CUF katika ukumbi wa Majid, Kiembesamaki.
Baadhi ya wagombea Uwakilishi, Ubunge na Udiwani wa CUF Unguja wakijitokeza kwenye mkutano huo (Picha na Salmin Said, OMKR)

      Na: Hassan Hamad, OMKR 

Katibu Mkuu wa Chama Cha...

 

10 years ago

Habarileo

Chadema yapangua ratiba fomu za ubunge, udiwani

Dk Willbrod SlaaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelazimika kupangua ratiba ya awali ya uchukuaji fomu za ubunge na udiwani kwa wanachama wake, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza majimbo mapya 26 ya uchaguzi hivi karibuni.

 

9 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WA CHADEMA GAIRO, MIKUMI WAKIMBILIA CCM, BI. SULUHU AWAPOKEA.

Msafara wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan ukiwasili Gairo mkoani Morogoro.Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (wa pili kulia) akiwashukuru baadhi ya wananchi waliofika kumpokea mpakani mwa Mkoa wa Dodoma na Morogoro alipokuwa akiwasili kuanza ziara ya kampeni mkoani Morogoro.
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais CCM, Bi. Suluhu (kushoto) akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Morogoro walipofika kupokea...

 

10 years ago

Vijimambo

WEMA SEPETU KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUM SINGIDA

Wema Sepetu huenda akaingia kwenye siasa kwa kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.

Wema Sepetu akiwa na mama yake
Mashabiki wake aka Team Wema wameandika ujumbe: Nina wazo kwenu nyote. Kwa upendo tuliekuwa nao kwa madame. Naomba tumsuport kwa hali na mali. Kila anae jua anampenda Wema tumchangie ili kampeni yake iende vizuri. Anategemea kuchukua form ya kugombea ubunge viti maalum mkoani Singida tarehe 15/7/2015. Mko tayari tumsuport madame wetu? Naomba mnipe jibu. wazo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Felix Mabula akataliwa na wagombea Ubunge na Udiwani wa Chadema jimbo la Hanan’g

DSC06033

Mgombea Ubunge Jimbo la Hanang Derick Magoma akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya kutokua na imani na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo ambaye ni Mkurugenzi wa Wilaya ya Hanang Felix Mabula madai ambayo wamewasilisha kwa tume ya uchaguzi iteue Msimamizi ili kufanikisha uchaguzi huru na wa haki.Kushoto ni Mwenyekiti wa Chadema Hanan`g  Isack Joseph  na kulia ni Mgombea udiwani kata ya Endasiwold John Farayo. (Habari picha na Woinde Shizza).

Wagombea wa Nafasi za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani