Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM BAGAMOYO KUKAA MEZA MOJA NA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA MJI MDOGO NA WILAYA

****************************
NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO .
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, kimejipanga ,kuwakutanisha viongozi wa Halmashauri ya Mji Mdogo na wa Halmashauri ya Wilaya, ili kuhakikisha wanashirikiana na kuondoa muingiliano wa mambo kwa maslahi ya wananchi. 
Hatua hiyo inalenga kila Mamlaka kutimiza majukumu kulingana na mipaka yake, lengo kubwa ni kuondoa muingiliano wa kazi, hali inayoonekana kujitokeza ikichangia kukwama kwa baadhi ya shughuli za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CCM WASHINDA NAFASI YA UENYEKITI MJI MDOGO WA HIMO

Mwenyekiti  mpya wa mji mdogo wa Himo Hussein Jamal akizungumzamara baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo katika uchaguzi huo uliofanyika katika shule ya walemavu wa usikivu eneo la njia Panda.Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Moris Makoi akisalimia mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi huo.Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza wakati wa kufunga kikao cha uchaguzi huo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Mwananchi

Samia aiahidi Sengerema halmashauri ya mji CCM ikichaguliwa

Mgombea mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan ameahidi kuufanya Mji wa Sengerema kuwa halmashauri, endapo wananchi watampa ridhaa ya kuingia Ikulu, Dk John Magufuli.

 

10 years ago

Michuzi

CCM MOSHI VIJIJINI WAMPONGEZA MWENYEKITI MPYA WA MJI MDOGO WA HIMO HUSSEIN JAMAL.

Baaadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika sherehe ya pongezi kwa mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo.Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi vijijini Miriam Kaaya akizungumza wakatio wa sherehe za kumpongeza mwenyekiti wa mji mdpgo wa Himo ,Hussein Jamal.Mwenyekiti mpya wa mji mdogo wa Himo ,Hussein Jamal akizungumza na wananchi waliofika katika sherehe za pongezi zilizofanyika katika ukumbi wa King size uliopo mji mdogo wa Himo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUTUBIA KIKAO CHA KAZI KWA VIONGOZI WA MIKOA,WILAYA NA HALMASHAURI MJINI DODOMA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubuia Kikao cha Kazi kwa Viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri katika ukumbi wa Chimwaga Chuo Kikuu cha Dodoma leo Oktoba 2, 2014. PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AHUTUBIA KIKAO CHA KAZI KWA VIONGOZI WA MIKOA< WILAYA NA HALMASHAURI MJINI DODOMA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubuia Kikao cha KAzi kwa Viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri katika ukumbi wa Chimwaga Chuo Kikuu cha Dodoma leo Oktoba 2, 2014PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AUNGURUMA WILAYANI BUSANDA NA MJI MDOGO WA KATORO MKOANI GEITA LEO.



  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Mji Mdogo wa Katoro, wakati wa ziara Jimbo la Busanda, wilayani Geita, Mkoa wa Geita, ambapo aliwaahidi wachimbaji wadogo wadogo kulitafutia ufumbuzi wa kuwapatia vitalu vya machimbo eneo la Nyarugusu linalomilikiwa na Stamico, wilayani Geita.
Ndugu Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, yupo mkoani Geita kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kusimamia utekelezaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

AY meza moja na Obama

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ambwene Yesaya ‘AY’ ni miongoni mwa wasanii wa Afrika walioalikwa na Rais Barrack Obama wa Marekani kutembelea Ikulu ya nchi hiyo (White House)...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KIGOMA AKANUSHA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA KIGOMA KULA PESA YA TASAF

Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma  MKUU Wa Wilaya ya Kigoma Mhe  Ramadhani Maneno amewataka wananchi wa Wilaya ya Kigoma kuacha kuwashutumu viongozi wa wilaya na Halmashauri kuwa wamekula pesa za TASAF shilingi milioni 183,539 zilizotolewa na serekali kwaajili ya kusaidia kaya maskini Wilayani humo. Mhe  Maneno amewaambia wanahabari ofisini kwake leo kuwa pesa iliyotolewa na TASAF kwa ajili ya kusaidia kaya maskini na zinazoishi katika mazingira magumu katika Wilaya ya Kigoma ...

 

11 years ago

GPL

HALMASHAURI YA JIJI YABOMOA MEZA ZA MACHINGA POSTA DAR

Maafande wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi leo wameendelea na bomoabomoa ya meza za wafanyabishara ndogondogo 'Wamachinga' kama walivyonaswa na kamera yetu maeneo ya Posta Mpya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani