Wakazi Singida wahimizwa kujenga nyumba bora.
Na, Mustapha Kapalata,
Singida
SHIRIKA la Umeme Nchini Tanesco kwa kushirikiana na wakala wa usambazaji umeme vijijini awamu ya pili limewataka baadhi ya wananchi wa mkoa wa Singida kujenga Nyumba Bora ili kupata fursa ya huduma ya umeme.
TANESCO imesema hiyo ni hatua mojawapo ya kuimarisha usalama wa Nyumba na matumizi ya Nishati hiyo.
Mradi huo mubwa unajumuisha ujenzi wa lain kubwa ya usambazaji yenye urefu wa kilometa 659, uwekaji wa mashine umba 107 na Ujenzi wa lain ndogo...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog05 Jun
Wakazi wa Singida wahimizwa kulima Mtama
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Mbeya,Ahmed Msangi (wa tatu kulia) akishiriki mchakamchaka muda mfupi kabla mwenge wa uhuru kukibidhiwa kwa uongozi wa mkoa wa Singida, katika kijiji cha Rungwa tarafa ya Itigi wilaya ya Manyoni.
Na Nathaniel Limu, Singida
WAKAZI wa Manispaa ya Singida,wamehimizwa kulima zao la mtama linalohimili ukame kama inavyoelekezwa na uongozi wa mkoa ili waweze kuondokana na uhaba wa chakula katika kipindi chote cha mwaka.
Wito huo umetolewa hivi karibuni na...
9 years ago
Dewji Blog20 Aug
Hillary Shoo wa Jambo Leo Singida, anyakua cheti maalumu kwa uandishi bora wa habari za Usalama Barabarani mkoa wa Singida
Mwandishi wa habari wa Gazeti la Jamboleo Mkoa wa Singida, Hillary Shoo,akipokea cheti maalumu kutoka kwa Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Singida, Aziza Mumba ikiwa ni mchango wake mkubwa katika kuandika habari za kuelimisha jamii juu ya wiki ya nenda kwa usalama barabara Mkoa wa Singida, halfa hiyo ilifanyika jana kwenye viwanja vya kituo cha mabasi yaendeyo mikoani, kulia ni Kamanda wa polisi Mkoani humo Thobias Sedoyeka.( PICHA NA MPIGA HISANI YA MO BLOG).
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Wanahabari Mkoa wa Singida (Singpress) wahimizwa kujiunga na mfuko wa afya wa NHIF!
9 years ago
Habarileo07 Oct
Magufuli amshawishi Mo kujenga kiwanda Singida
MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli amemshawishi aliyekuwa mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mohammed Dewji, kujenga kiwanda mkoani humo, ili pamoja na mambo mengine, kupunguza uhaba wa ajira.
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
Dkt Fenella Mukangara ahaidi kujenga zahanati kwa wakazi wa Kwembe
Katibu wa siasa na uenezi wa chama cha mapinduzi mkoa wa Dar es salaam Bw Juma Simba Gaddafi akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi Dkt Fenella Mukangara(kulia) na mgombea udiwani kwa tiketi chama hicho pia Bw Abeid jumanne kikoti(kushoto) wakati wa kampeni jana kwembe Dar es Salaam.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Dkt. Fenella Mukangara akiongea na wakazi wa kata ya Kwembe wakati alipokuwa akinadi sera za chama chake.Dkt Fenella aliwaahidi wakazi...
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Mchina aiomba Serikali Bilioni 3 kujenga jengo la Halmashauri Singida
Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa Singida, Joseph Mchina, akizungumza kwenye kikao maalum cha kupitisha bajeti ya 2015/2016 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kanisa la katoliki mjini Singida. Wa pili aliyeketi ni mstahiki meya wa manispaa ya Singida na sheikh wa mkoa wa Singida, Salum Mahami na wa kwanza kushoto ni Makamu meya, Hassan Mkatana wa kwanza kulia ni Katibu tawala wilaya ya Singida.
Na Nathaniel Limu, Singida
HALMASHAURI ya manispaa ya Singida, imetoa maombi maalum...
11 years ago
Dewji Blog05 May
PSPF kujenga nyumba 200 za kuwakopesha wanachama wake Singida
Mkuu wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma (PSPF) mkoa wa Singida, Bw. Saidi Majimoto, akihamasisha wanafunzi wa ualimu kujinga na mfuko wa PSPF ili kujihakikishia kupata mafao ya kukidhi mahitaji.Kushoto ni afisa wa PSPF, Andrew Mtima.
Baadhi ya wanafunzi wa ualimu chuo cha Lake Hill mjini Singida,wakimsikiliza mkuu wa mfuko wa pensheni kwa watumisi wa umma (PSPF), Saidi Majimoto (hayupo kwenye picha)akiwahamasisha kujiunga na mfuko huo ili kufaidika na mafao lukuki.
Bango la...
10 years ago
Habarileo08 Jun
Makandarasi waagizwa kujenga barabara bora
MAKANDARASI walioko chini ya Wakala wa Taifa wa Barabara (TANROADS) mkoani Kagera wameshauriwa kufanya kazi kwa viwango ili barabara walizokabidhiwa kujenga ziweze kupitika kwa urahisi ikiwa ni njia ya kukuza uchumi wa wananchi wa mkoa huo.