AUNT EZEKIEL AKANUSHA TAARIFA ZA KUJIFUNGUA, ASEMA VIDEO YA MTANDAONI NI KIPANDE CHA FILAMU YAKE
Aunt Ezekiel. BAADA ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu nchini Aunt Ezekiel kujifungua, mwanahabari wetu ametia timu nyumbani kwa Aunt na kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mrembo huyo bado yu mjamzito na taarifa za kujifungua si za kweli. Aunt akiwa na shosti wake Wema Sepetu. Mitandao mbalimbali ya kijamii imeripoti taarifa za Aunt kujifungua kuanzia jana huku mingine ikimpongeza na kuweka kipande cha video… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies12 Mar
Aunt Ezekiel Akanusha Taarifa za Kujifungua
Baada ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu nchini Aunt Ezekiel kujifungua, mwanahabari wa GPL ametia timu nyumbani kwa Aunt na kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mrembo huyo bado yu mjamzito na taarifa za kujifungua si za kweli.
Mitandao mbalimbali ya kijamii imeripoti taarifa za Aunt kujifungua kuanzia jana huku mingine ikimpongeza na kuweka kipande cha video kinachomuonyesha mwigizaji huyo akiwa ammbeba mtoto mchanga.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Aunt Ezekiel jana aliweka kipande...
10 years ago
CloudsFM12 Mar
Aunt Ezekiel akanusha tetesi za yeye kujifungua
Baada ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu za kibongo Tanzania Aunty Ezekiel kujifungua hatimaye ameamua kufunguka na kusema kwamba yeye bado hajajifungua na ile video ambayo watu wameiona ni kipande cha movie yake ambayo itatoka hivi karibuni
Na ameomba mashabiki wake wasiwe na shaka wakati ukifika watajua tuu kama kajifugua au lah
10 years ago
Bongo Movies16 Jun
Aunt Ezekiel Kuja na Hii Baada ya Kujifungua
Baada ya hivi karibuni kupata jina jipya la mama cookie, staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amesema amejipanga kurudi kwa kishindo kwenye bongo movies baada ya lengo lake hilo kutimia.
Akizungumza na gazeti la Nipashe Aunt amabaye amejifungua mwezi uluopita alisema amejipanga kutoa filamu amabayo itahusu maswala ya wazazi ili kueleimisha wanawake wenye tabia ya kutupu watoto wachanga mara baada ya kujifungua.
Aidha amesema huchukia wanaume wenye kuwapa mimba wanawake kisha...
9 years ago
Bongo Movies02 Oct
Aunt Ezekiel Akanusha Kugombana na Nape
"Ndugu zangu,
Naomba niwakumbushe jambo moja kubwa na la msingi ambalo labda mmelisahau. Nchi yetu ni ya kidemokrasia na inaruhusu kila mtanzania kuwa na imani yake ya kisiasa, kwani ni haki yake ya msingi.
Kiukweli nasikitishwa sana na hii tabia ya watu kuamini kwamba vijana wanaokiunga mkono chama tawala wamenunuliwa, wanatukanwa kila siku na kudhalilishwa kana kwamba hawana haki kwenye nchi yao.
Mbaya zaidi sasa tunaelekea kwenye kupandikizwa ugomvi na viongozi wetu wa chama, najiuliza...
10 years ago
Bongo Movies07 May
Aunt Ezekiel Awapa Makavu Watu Hawa Mtandaoni
Hivi naomba kuuliza kuna mtu nilimuomba humu kwenye page yangu anifollow???au nilishatangazwa kuomba followers mimi!!!Sasa ni mm ni mswahili mjue alafu habari za kukaa kutishiana maisha sipendi mana naona kila mtu mfundaji humu ndani kila mtu nyakanga vyote mnajua nyinyi!!
Mungu haombwi insta wala asalitiwi insta kila mtu na dini na kanuni zake kulingana na bando lake mimi nikiingia labour leo lolote lile litakalokuwa ndio matokeo na ndio mwenyezi Mungu alichopanga, hata nikajifiche wapi...
10 years ago
Bongo522 Sep
Video: Wizkid ashare kipande cha video yake mpya ‘In My Bed’ anayotarajia kuitoa leo (Sept 22)
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Aunt Ezekiel: Filamu hazilipi
STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko...
10 years ago
Bongo523 Sep
Video: Iyanya aonjesha kipande cha video yake mpya ‘Mr Oreo’ inayotoka leo (Sept 23), tazama BTS
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Aunt Ezekiel: Soko la filamu linashuka
NYOTA wa filamu nchini, Aunt Ezekiel, amesema filamu za Tanzania zinaelekea pabaya kutokana na soko hilo kushuka kiuchumi. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Aunt alisema, ni wazi kulingana na tulipotoka,...