Aunt Ezekiel Akanusha Taarifa za Kujifungua
Baada ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu nchini Aunt Ezekiel kujifungua, mwanahabari wa GPL ametia timu nyumbani kwa Aunt na kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mrembo huyo bado yu mjamzito na taarifa za kujifungua si za kweli.
Mitandao mbalimbali ya kijamii imeripoti taarifa za Aunt kujifungua kuanzia jana huku mingine ikimpongeza na kuweka kipande cha video kinachomuonyesha mwigizaji huyo akiwa ammbeba mtoto mchanga.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Aunt Ezekiel jana aliweka kipande...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLAUNT EZEKIEL AKANUSHA TAARIFA ZA KUJIFUNGUA, ASEMA VIDEO YA MTANDAONI NI KIPANDE CHA FILAMU YAKE
10 years ago
CloudsFM12 Mar
Aunt Ezekiel akanusha tetesi za yeye kujifungua
Baada ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu za kibongo Tanzania Aunty Ezekiel kujifungua hatimaye ameamua kufunguka na kusema kwamba yeye bado hajajifungua na ile video ambayo watu wameiona ni kipande cha movie yake ambayo itatoka hivi karibuni

10 years ago
Bongo Movies16 Jun
Aunt Ezekiel Kuja na Hii Baada ya Kujifungua
Baada ya hivi karibuni kupata jina jipya la mama cookie, staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amesema amejipanga kurudi kwa kishindo kwenye bongo movies baada ya lengo lake hilo kutimia.
Akizungumza na gazeti la Nipashe Aunt amabaye amejifungua mwezi uluopita alisema amejipanga kutoa filamu amabayo itahusu maswala ya wazazi ili kueleimisha wanawake wenye tabia ya kutupu watoto wachanga mara baada ya kujifungua.
Aidha amesema huchukia wanaume wenye kuwapa mimba wanawake kisha...
10 years ago
Bongo Movies02 Oct
Aunt Ezekiel Akanusha Kugombana na Nape
"Ndugu zangu,
Naomba niwakumbushe jambo moja kubwa na la msingi ambalo labda mmelisahau. Nchi yetu ni ya kidemokrasia na inaruhusu kila mtanzania kuwa na imani yake ya kisiasa, kwani ni haki yake ya msingi.
Kiukweli nasikitishwa sana na hii tabia ya watu kuamini kwamba vijana wanaokiunga mkono chama tawala wamenunuliwa, wanatukanwa kila siku na kudhalilishwa kana kwamba hawana haki kwenye nchi yao.
Mbaya zaidi sasa tunaelekea kwenye kupandikizwa ugomvi na viongozi wetu wa chama, najiuliza...
10 years ago
GPL
LICHA YA KUJIFUNGUA UZURI WA AUNT PALEPALE
10 years ago
GPL
DOKTA AMZUIA AUNT KUJIFUNGUA MAREKANI
10 years ago
Bongo Movies14 Mar
Watu Wamvaa Aunt Ezekiel
Kutokana na uzushi ulioenea kuwa staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amejifungua, ndugu, jamaa na marafiki kibao walijazana nyumbani kwake, Mwananyamala jijini Dar es Salaam juzi Alhamisi ili kumpa pongezi, lakini walipokuta habari tofauti walimvaa na kumlaumu kwa kuwadanganya.
Jumatano usiku katika mtandao wa kijamii wa Instagram, msanii Aunt Ezekiel ambaye ni mke wa mtu aliyepata ujauzito mumewe akiwa jela, alitupia picha ikimuonyesha akiwa na kitoto kichanga, ambacho watu wengi...
11 years ago
GPL
AUNT EZEKIEL NA UKWELI MCHUNGU!