Aunt Ezekiel Kuja na Hii Baada ya Kujifungua
Baada ya hivi karibuni kupata jina jipya la mama cookie, staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amesema amejipanga kurudi kwa kishindo kwenye bongo movies baada ya lengo lake hilo kutimia.
Akizungumza na gazeti la Nipashe Aunt amabaye amejifungua mwezi uluopita alisema amejipanga kutoa filamu amabayo itahusu maswala ya wazazi ili kueleimisha wanawake wenye tabia ya kutupu watoto wachanga mara baada ya kujifungua.
Aidha amesema huchukia wanaume wenye kuwapa mimba wanawake kisha...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies12 Mar
Aunt Ezekiel Akanusha Taarifa za Kujifungua
Baada ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu nchini Aunt Ezekiel kujifungua, mwanahabari wa GPL ametia timu nyumbani kwa Aunt na kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mrembo huyo bado yu mjamzito na taarifa za kujifungua si za kweli.
Mitandao mbalimbali ya kijamii imeripoti taarifa za Aunt kujifungua kuanzia jana huku mingine ikimpongeza na kuweka kipande cha video kinachomuonyesha mwigizaji huyo akiwa ammbeba mtoto mchanga.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Aunt Ezekiel jana aliweka kipande...
10 years ago
CloudsFM12 Mar
Aunt Ezekiel akanusha tetesi za yeye kujifungua
Baada ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu za kibongo Tanzania Aunty Ezekiel kujifungua hatimaye ameamua kufunguka na kusema kwamba yeye bado hajajifungua na ile video ambayo watu wameiona ni kipande cha movie yake ambayo itatoka hivi karibuni
![](http://api.ning.com/files/YIi6je0KpJNUNv95g5oTtO*9aq3Ov5x3qYbpQ3qvLXu0ynEEp0REnpFJh6brMVX*0fxdzTEVWSYXzBcLvH2cdLeIasBiDn-Q/2.png)
10 years ago
GPLAUNT EZEKIEL AKANUSHA TAARIFA ZA KUJIFUNGUA, ASEMA VIDEO YA MTANDAONI NI KIPANDE CHA FILAMU YAKE
10 years ago
Bongo Movies19 Jan
Aunt Ezekiel Achukizwa na Mabishano ya Kidini Yaliyozuka Baada ya Posti Yake!!!
Mwigizaji wa filamu Aunt Ezekiel ambae kwasasa ni mjamzito, amechukizwa na kitendo cha baadhi ya watu ambao ni followers wake kwenye mtandao wa Instagram kumshambulia na kuzua malumbano ya maswala ya Dini, hii ilitokea hapo jana (Jumapili) mara baada ya mwigizaji huyo kubandika picha (hiyo hapo juu) mtandaoni na kuandika maneno haya “When Jesus say YES no body can say No …..Happy me”
Kitendo hiki kiliwafanya baadhi ya watu wenye imani tofauti na ukristu kuibuka na kuanza kumshambulia kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nII-N*HRVI0AQ4WFrXhKHBmJINOZf3qsYFFIcg2PPDmnqyQaNDtpE1QNGBWg5xUnFByoDgQD5aHvNeAdE8JBGU9qccGC5qSr/11.jpg)
DOKTA AMZUIA AUNT KUJIFUNGUA MAREKANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j2M1I3T7jzkTa1vzdjzblTxZsniYzF8FqlsH8c5u49gglyequytI3V1RybFY8OOrf4jnLyunGBbXfpdauKC1sK0kSEhvv*OY/aunty.jpg?width=650)
LICHA YA KUJIFUNGUA UZURI WA AUNT PALEPALE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tRTgBwuFfyuAuJnc6PwuTbY7fCtyoJ2sPPJdvIouhEa9aBRQKyBs6ObNGMiA1SL9pWUQrPAKH5veLvQ40RmSUPJ/BACK.jpg)
MIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N6tOykHJpwm8Eg4g55zbaUAyd6dCLAL8i8zxGhVYch8MbDYNox9sR59w-5GKtoP7u1Xg9e99aGKBZBnGdB4*fAf/aunt.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA!
10 years ago
Bongo Movies14 Mar
Watu Wamvaa Aunt Ezekiel
Kutokana na uzushi ulioenea kuwa staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amejifungua, ndugu, jamaa na marafiki kibao walijazana nyumbani kwake, Mwananyamala jijini Dar es Salaam juzi Alhamisi ili kumpa pongezi, lakini walipokuta habari tofauti walimvaa na kumlaumu kwa kuwadanganya.
Jumatano usiku katika mtandao wa kijamii wa Instagram, msanii Aunt Ezekiel ambaye ni mke wa mtu aliyepata ujauzito mumewe akiwa jela, alitupia picha ikimuonyesha akiwa na kitoto kichanga, ambacho watu wengi...