Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LICHA YA KUJIFUNGUA UZURI WA AUNT PALEPALE

MWANDISHI WETU
KIWANGO! Tofauti na watu wengine ambao maumbile yao hubadilika mara baada ya kujifungua, kwa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel hali imekuwa tofauti, uzuri na umbo lake limebaki vilevile. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel akiwa na mwanaye. Akizungumza na wahariri sambamba na waandishi wa Global Publishers nyumbani kwake Mwananyamala jijini Dar, Aunt alisema kilichomfanya asinenepe kupita kiasi na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Aunt Ezekiel Akanusha Taarifa za Kujifungua

Baada ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu nchini Aunt Ezekiel kujifungua, mwanahabari wa GPL ametia timu nyumbani kwa Aunt na kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mrembo huyo bado yu mjamzito na taarifa za kujifungua si za kweli.

Mitandao mbalimbali ya kijamii imeripoti taarifa za Aunt kujifungua kuanzia jana huku mingine ikimpongeza na kuweka kipande cha video kinachomuonyesha mwigizaji huyo akiwa ammbeba mtoto mchanga.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Aunt Ezekiel jana aliweka kipande...

 

10 years ago

GPL

DOKTA AMZUIA AUNT KUJIFUNGUA MAREKANI

IMELDA MTEMA DOKTA amempiga stop staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel kwenda kujifungulia nchini Marekani kwa sababu hali yake ya ujauzito aliyofikia haruhusiwi kusafiri kwa kutumia usafiri wa anga kwenda popote. Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Chanzo makini kilisema kuwa, Aunt alijiwekea mpango wa kwenda kujifungulia nchini huko kwa muda mrefu lakini alikuwa akisubiri mimba ikue kidogo kitendo ambacho hakikutakiwa kwa kuwa...

 

10 years ago

CloudsFM

Aunt Ezekiel akanusha tetesi za yeye kujifungua

Baada ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu za kibongo Tanzania Aunty Ezekiel kujifungua  hatimaye ameamua kufunguka na kusema kwamba yeye bado hajajifungua na ile video ambayo watu wameiona ni kipande cha movie yake ambayo itatoka hivi karibuni

 

Na ameomba mashabiki wake wasiwe na shaka wakati ukifika watajua tuu kama kajifugua au lah

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunt Ezekiel Kuja na Hii Baada ya Kujifungua

Baada ya hivi karibuni kupata jina jipya la mama cookie, staa  wa bongo  movies, Aunt Ezekiel amesema amejipanga  kurudi kwa kishindo  kwenye bongo movies baada ya lengo lake hilo kutimia.

Akizungumza na gazeti la Nipashe Aunt amabaye amejifungua  mwezi uluopita alisema amejipanga kutoa filamu amabayo itahusu  maswala ya wazazi  ili kueleimisha  wanawake  wenye tabia ya kutupu watoto  wachanga mara baada ya kujifungua.

Aidha amesema  huchukia wanaume wenye kuwapa mimba wanawake kisha...

 

10 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL AKANUSHA TAARIFA ZA KUJIFUNGUA, ASEMA VIDEO YA MTANDAONI NI KIPANDE CHA FILAMU YAKE

Aunt Ezekiel. BAADA ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu nchini Aunt Ezekiel kujifungua, mwanahabari wetu ametia timu nyumbani kwa Aunt na kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mrembo huyo bado yu mjamzito na taarifa za kujifungua si za kweli. Aunt akiwa na shosti wake Wema Sepetu. Mitandao mbalimbali ya kijamii imeripoti taarifa za Aunt kujifungua kuanzia jana huku mingine ikimpongeza na kuweka kipande cha video… ...

 

11 years ago

GPL

HEMED, MLELA BIFU PALEPALE!

Hemed (kushoto) akimtishia bastola Mlela Hemed na Mlela wakiwa wamelazwa hospitalini baada ya kuumizana huku mama yao akiwaangalia kwa huzuni…

 

10 years ago

Habarileo

‘Kura ya maoni iko palepale’

Kaimu Kiongozi wa shughuli za Serikali bungeni, Samuel SittaSERIKALI imesema haiwezi kubadili msimamo wake kuhusu upigaji wa Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa, licha ya kuwepo maoni ya viongozi wa dini ambao wanataka jambo hilo lisitishwe.

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda: Ujenzi wa maabara palepale

PM-PINDANa Mwandishi Wetu, Mwanza
WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda amesema tarehe ya mwisho iliyotolewa na Serikali ya kusimamia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari iko palepale na amewataka watendaji wa halmashauri na mikoa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo.

Alitoa agizo hilo Mwanza jana alipozungumza na watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Waratibu wa Elimu wa Wilaya na Mikoa waliohudhuria ufunguzi wa mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA kwenye uwanja wa CCM Kirumba.

Waziri Mkuu ambaye...

 

10 years ago

Mtanzania

Dk Hosea: Uchunguzi Escrow palepale

Edward Hosea mkuu wa TAKUKURUNa Debora Sanja, Dodoma
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema uchunguzi dhidi ya vigogo wa kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow unaendelea.
Kauli hiyo ilitolewa Dodoma jana na Mkurugenzi wa Takukuru, Dk . Edward Hosea alipokuwa akijibu maswali ya wabunge waliohudhuria semina ya Chama Cha Wabunge Wanaopambana na Rushwa (APNAC).
Kauli ya Dk. Hosea ilitokana na swali la Mbunge wa Simanjiro, Christopher ole Sendeka (CCM), aliyetaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani