TAASISI ZATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA UZAZI
Kina mama wakionyesha mfano wa kuwanyonyesha watoto wachanga katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya Unyonyeshaji Duniani yaliyofanyika kitaifa wilayani Mufundi mkoani Iringa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akizundua kitabu maalum cha Mwongozo wa Mafunzo ya Ulishaji wa watoto wachanga na wadogo katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya Unyonyeshaji Duniani yaliyofanyika kitaifa wilayani Mufundi mkoani Iringa Juzi (kushoto) ni kaimu mkurugenzi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Mambo muhimu ya kuzingatia uzazi salama
9 years ago
Habarileo09 Oct
Taasisi zatakiwa kuweka wazi takwimu
SERIKALI imezitaka taasisi na idara zake kuweka wazi takwimu mbalimbali ili kutoa fursa kwa wananchi kufahamu ahadi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya serikali.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-03nYei4Dqf0/XvXfrVx6znI/AAAAAAALvgs/VbcLV4u9vYcQBId9Hv9FM7oO32Tk_cfTgCLcBGAsYHQ/s72-c/ce56e509-f63d-4b94-aabe-0df5f92ad50e.jpg)
TAASISI ZATAKIWA KUBUNI TEKNOLOJIA MPYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-03nYei4Dqf0/XvXfrVx6znI/AAAAAAALvgs/VbcLV4u9vYcQBId9Hv9FM7oO32Tk_cfTgCLcBGAsYHQ/s640/ce56e509-f63d-4b94-aabe-0df5f92ad50e.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/8ebaee4a-4a26-4205-9f49-225a657234c1.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/d3e63701-da56-4458-b21f-e05d93670709.jpg)
10 years ago
Habarileo02 Jun
Taasisi za serikali zatakiwa kubadilisha barua pepe
TAASISI za Serikali nchini zimetakiwa kufanya mabadiliko katika mfumo wa barua pepe za serikali ili kuendana na mabadiliko ya sasa ya sayansi na teknolojia.
10 years ago
Habarileo02 Apr
Taasisi nyeti zatakiwa kuilipa Tanesco madeni
VIONGOZI wanaosimamia taasisi nyeti na zenye madeni makubwa ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco) wametakiwa kutimiza wajibu wao wa kulipa madeni hayo ya umeme ili kutoa nafasi kwa shirika hilo kujisimamia na kujiendesha.
11 years ago
Habarileo15 Mar
Taasisi za usafiri zatakiwa kuweka viwango kudhibiti ajali
MAMLAKA zinazosimamia usafiri wa majini na nchi kavu nchini zimetakiwa kudhibiti vyombo vya majini na kuweka viwango kwa ajili ya kupunguza ajali za baharini.
10 years ago
Habarileo04 Oct
NGOs zatakiwa kufuata sheria
MASHIRIKA yasiyo ya serikali(NGOs) yamekumbushwa kufanya kazi bila ubaguzi na kuhakikisha yanafuata taratibu na sheria za usajili wake.
9 years ago
StarTV24 Dec
Taasisi, mashirika zatakiwa kuwajali watoto wa mitaani msimu wa sikukuu
Kukoseka kwa jitihada thabiti za jamii katika kuunga mkono Taasisi zisizo za kiserikali na Mashirika ya mbali mbali yanayojihusisha na watoto wa mitaani kuwarudisha majumbani kunazorotesha juhudi za kupunguza ongezeko la watoto wanaokimbila mijini na kuishi mitaani ambao ni nguvu kazi ya taifa kwa siku za usoni.
Watoto hao wamekuwa wakikosa haki zao za msingi ikiwemo elimu na malezi ya wazazi ndugu na jamaa na kuishi katika mazingira magumu na hatarishi.
Mkurugenzi wa shirika lisilo la...
5 years ago
CCM BlogTAASISI ZA KIFEDHA NCHINI ZATAKIWA KUACHA URASIMU KATIKA MIKOPO
Kauli hiyo imetolewa Machi mosi na Makamu wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Ali Idd wilayani, Kahama mkoani Shinyanga katika ziara yake ya kwanza baada ya kutembelea na kukagua eneo la ujenzi wa viwanda vitatu katika eneo la chapulwa vinavyojengwa na KOM GROUP...