Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi nyeti zatakiwa kuilipa Tanesco madeni

VIONGOZI wanaosimamia taasisi nyeti na zenye madeni makubwa ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco) wametakiwa kutimiza wajibu wao wa kulipa madeni hayo ya umeme ili kutoa nafasi kwa shirika hilo kujisimamia na kujiendesha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

SMZ yajipanga kuilipa Tanesco

Ramadhan Abdalla ShaabanSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imeanza kuweka mikakati ya kuhakikisha deni la umeme kutoka Shirika la Umeme (Tanesco), linalipwa kwa awamu tofauti ili kuepuka huduma hiyo kusitishwa.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli akutana na taasisi nyeti

RAIS John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wanne wa taasisi nyeti tofauti kuhusu mambo mbalimbali ya mustakabali wa Serikali yake ya awamu ya tano.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali inavyolihujumu Tanesco,madeni

Wakati ongezeko la mahitaji ya huduma za umeme likiendelea kukua kwa kasi hapa nchini, Shirika la Ugavi nchini (Tanesco) linalohusika na huduma hiyo ndiyo kwanza linatambaa kwa kutumia magongo ya miti, likihitaji kunusuriwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

NISCO: Kimbilio la taasisi nyeti za umma, binafsi

KATIKA nchi ya Afrika Kusini kampuni za ulinzi binafsi ndizo zinazoongoza kutoa huduma ya ulinzi na kutangaza uhalifu unaojitokeza. Shabaha ya kufanya hivyo ni kutaka jamii iwe makini na kuweza...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI ZATAKIWA KUBUNI TEKNOLOJIA MPYA

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akimsikiliza Mkuu wa Gereza la Kwitanga, SSP Dominic Christian aliyekuwa anatoa maelezo juu ya uzalishaji wa mbegu za Chikichi katika gereza hilo.Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akizungumza jambo na Mkurugenzi wa kituo cha utafiti wa zao la chikichi  Kihinga Dkt.  Filson Kagimbo.Katibu Mkuu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akiwa katika picha ya pamoja...

 

9 years ago

Habarileo

Taasisi zatakiwa kuweka wazi takwimu

SERIKALI imezitaka taasisi na idara zake kuweka wazi takwimu mbalimbali ili kutoa fursa kwa wananchi kufahamu ahadi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya serikali.

 

11 years ago

Michuzi

TAASISI ZATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA UZAZI


 Kina mama wakionyesha mfano wa kuwanyonyesha watoto wachanga katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya Unyonyeshaji Duniani yaliyofanyika kitaifa wilayani Mufundi mkoani Iringa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akizundua kitabu maalum cha Mwongozo wa Mafunzo ya Ulishaji wa watoto wachanga na wadogo katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya Unyonyeshaji Duniani yaliyofanyika kitaifa wilayani Mufundi mkoani Iringa Juzi (kushoto) ni kaimu mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Taasisi za serikali zatakiwa kubadilisha barua pepe

TAASISI za Serikali nchini zimetakiwa kufanya mabadiliko katika mfumo wa barua pepe za serikali ili kuendana na mabadiliko ya sasa ya sayansi na teknolojia.

 

11 years ago

Habarileo

Taasisi za usafiri zatakiwa kuweka viwango kudhibiti ajali

MAMLAKA zinazosimamia usafiri wa majini na nchi kavu nchini zimetakiwa kudhibiti vyombo vya majini na kuweka viwango kwa ajili ya kupunguza ajali za baharini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani