SMZ yajipanga kuilipa Tanesco
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imeanza kuweka mikakati ya kuhakikisha deni la umeme kutoka Shirika la Umeme (Tanesco), linalipwa kwa awamu tofauti ili kuepuka huduma hiyo kusitishwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo18 Apr
SMZ yajipanga kukabiliana na majanga
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imejipanga kukabiliana na majanga mbalimbali, ikiwemo matukio ya ajali ya vyombo vya baharini kwa kutoa elimu kwa wananchi na makundi mbalimbali.
10 years ago
Habarileo02 Apr
Taasisi nyeti zatakiwa kuilipa Tanesco madeni
VIONGOZI wanaosimamia taasisi nyeti na zenye madeni makubwa ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco) wametakiwa kutimiza wajibu wao wa kulipa madeni hayo ya umeme ili kutoa nafasi kwa shirika hilo kujisimamia na kujiendesha.
9 years ago
Habarileo19 Aug
Mapunda akubali kuilipa Simba
KIPA Ivo Mapunda amesema atarudisha fedha za Simba lakini anahitaji apewe muda.
11 years ago
Tanzania Daima22 May
LHRC yatakiwa kuilipa Dowans
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kinatakiwa kulipa gharama sh bilioni 2.8 kwa ajili ya kufidia gharama za uendeshaji kesi iliyofungua dhidi ya kampuni ya Dowans. Akizungumza na...
11 years ago
Habarileo16 Dec
Serikali kuilipa PSPF bilioni 50/-
KATIKA mwaka huu wa fedha serikali inatarajia kuulipa Mfuko wa Penseni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) jumla ya Sh bilioni 50, huku ikiwa imelipa Sh bilioni 60, mwaka jana. Malipo hayo yanatokana na deni la serikali katika mfuko huo.
11 years ago
Habarileo12 Dec
Uganda yaanza kuilipa Tanzania
SERIKALI ya Uganda tayari imeshaanza kulipa deni lake kwa Tanzania la dola za Marekani milioni 9.6 kati ya dola za Marekani milioni 18.4 ikiwa ni fidia kwa Tanzania kwa mchango wake katika kumuondoa Idd Amin Dada Uganda mwaka 1978.
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Kumbe Ngasa alikopa kuilipa Simba!
WANACHAMA wa klabu ya Yanga wameuomba uongozi wao wamchangie kulipa deni mshambuliaji wao, Mrisho Ngasa, baada ya kukopa katika moja ya benki hapa nchini kuwalipa Simba. Ngasa alikopa sh milioni...
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
JKT MLALE YATAKIWA KUILIPA LYON
9 years ago
Habarileo15 Dec
Wadaiwa wa TSN watakiwa kuilipa isikwame
NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura amewataka wadaiwa wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) kulipa madeni yao kwa wakati, kuepusha kuendelea kuicheleweshea maendeleo.