Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uganda yaanza kuilipa Tanzania

SERIKALI ya Uganda tayari imeshaanza kulipa deni lake kwa Tanzania la dola za Marekani milioni 9.6 kati ya dola za Marekani milioni 18.4 ikiwa ni fidia kwa Tanzania kwa mchango wake katika kumuondoa Idd Amin Dada Uganda mwaka 1978.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Tullow kuilipa Uganda dola milioni 250

Kampuni ya Tullow Oil imesema kuwa itailipa serikali ya Uganda dola milioni 250 baada ya kuafikiana kuhusu mgogoro wa kodi kwa mda mrefu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uganda yaanza vizuri CHAN

Timu ya Taifa ya Uganda The Cranes ambayo ni miongoni mwa kutoka Afrika Mashariki jumapili iliwafurahisha mashabiki wake baada ya kuishikisha adabu Burkina Faso kwa jumla ya magoli 2 -1.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kili Stars yaanza vizuri Cecafa Senior Challenge, yaikamua Somalia, bingwa mtetezi Kenya nae aipa kipigo Uganda!

kilistars

Kikosi cha Kilimanjaro Stars..

Na Rabi Hume, Modewji blog

Timu inayowakilisha Tanzania bara katika mashindano ya Cecafa Senior Challenge, Kilimanjaro Stars jana imeanza vyema mashindano hayo kwa kuifunga timu ya taifa ya Somalia kipigo cha goli 4 kwa bila.

Katika mchezo huo ambao Kili Stars ilionekana kutawala kwa kipindi kirefu ilifanikiwa kupata goli la kwanza dakika ya 11 kupitia kwa nahodha wa timu hiyo, John Bocco kwa njia ya mkwaju wa penati.

Goli la pili lilifungwa na Elias...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ujumbe wa Tanzania wakutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi kujadili uchumi wa Tanzania

DSCI0119

Baadhi ya viongozi wa Wizara ya fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali  Dr. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka Tanzania ulikutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Phippe Dongier hawapo kwenye picha kwa madhumuni ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uchumi wa Tanzania. Kutoka kushoto ni Bw. John Cheyo ambaye ni Kamishna wa Bajeti, anayefuata ni Katibu...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA TANZANIA WAKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA DUNIA KWA TANZANIA,RWANDA,UGANDA NA BURUNDI

Bw. Phippe Dongier ambaye ni mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi alipokuwa akijibu hoja zilizotolewa na Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali na kuahidi kuzifanyia kazi.Baadhi ya viongozi wa Wizara ya fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka Tanzania ulikutana na Mwakilishi Mkazi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

LHRC yatakiwa kuilipa Dowans

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kinatakiwa kulipa gharama sh bilioni 2.8 kwa ajili ya kufidia gharama za uendeshaji kesi iliyofungua dhidi ya kampuni ya Dowans. Akizungumza na...

 

9 years ago

Habarileo

Mapunda akubali kuilipa Simba

KIPA Ivo Mapunda amesema atarudisha fedha za Simba lakini anahitaji apewe muda.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuilipa PSPF bilioni 50/-

KATIKA mwaka huu wa fedha serikali inatarajia kuulipa Mfuko wa Penseni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) jumla ya Sh bilioni 50, huku ikiwa imelipa Sh bilioni 60, mwaka jana. Malipo hayo yanatokana na deni la serikali katika mfuko huo.

 

11 years ago

Habarileo

SMZ yajipanga kuilipa Tanesco

Ramadhan Abdalla ShaabanSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imeanza kuweka mikakati ya kuhakikisha deni la umeme kutoka Shirika la Umeme (Tanesco), linalipwa kwa awamu tofauti ili kuepuka huduma hiyo kusitishwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani