Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli akutana na taasisi nyeti

RAIS John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wanne wa taasisi nyeti tofauti kuhusu mambo mbalimbali ya mustakabali wa Serikali yake ya awamu ya tano.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Taasisi nyeti zatakiwa kuilipa Tanesco madeni

VIONGOZI wanaosimamia taasisi nyeti na zenye madeni makubwa ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco) wametakiwa kutimiza wajibu wao wa kulipa madeni hayo ya umeme ili kutoa nafasi kwa shirika hilo kujisimamia na kujiendesha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

NISCO: Kimbilio la taasisi nyeti za umma, binafsi

KATIKA nchi ya Afrika Kusini kampuni za ulinzi binafsi ndizo zinazoongoza kutoa huduma ya ulinzi na kutangaza uhalifu unaojitokeza. Shabaha ya kufanya hivyo ni kutaka jamii iwe makini na kuweza...

 

9 years ago

Mwananchi

Siri ya Magufuli kuweka kiporo wizara nne nyeti

Uamuzi wa Rais John Magufuli kuweka kiporo wizara nne nyeti alipotangaza Baraza la Mawaziri linaloapishwa leo Ikulu bila kuteua mawaziri umeibua hisia ambazo zinajibiwa na wasomi, wachambuzi kama mkakati mahsusi wa kiongozi huyo kutaka zitimize wajibu wake ipasavyo.     

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKUTANA NA UJUMBE WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif wa Kwanza kutoka kulia akiuhakikishia Ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation kwamba Uchaguzi Mkuu wa Tarehe 25 Mwezi huu utafanyika katika misingi ya haki na amani hapa Zanzibar.
Ujumbe huo unaoongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wake Bwana Joseph Butiku wa Pili kutoka Kushoto up[o Zanzibar kukutana na Viongozi wa ngazi za juu kujaribu kusaidia mawazo ya kuona Taifa linaendelea kudumisha amani iliyopo Nchini. Picha na –OMPR – ZNZ.


Makamu wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA TAASISI YA SEKTA BINAFSI-TPSF


Na. WAMJW-DSM

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu leo amekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na kujadili namna ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona (COVID-19) nchini.

Katika kikao hicho, Waziri Ummy Mwalimu ameshukuru baraza hilo kwa kushirikiana na Sekta ya afya katika mapambano ya ugonjwa huo.

”Mchango wa sekta binafsi mkiwamo nyie wafanyabiashara ni muhimu kwani mtaleta manufaa makubwa katika mapambano haya,” amesema Waziri Ummy...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Viongozi wa Taasisi ya Siti Binti Saad

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad Bibi Nasra Mohamed Hilal(wanne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda pamoja na mlezi wa Taasisi hiyo Rais Mstaafu awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi ikului jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro)

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA USALAMA WA CHAKULA YA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Usalama wa Chakula ya Ubelgiji Bwana. Pierre Nassens ( wa pili kutoka kushoto). Balozi Kamala ametembelea taasisi hiyo leo Brussels kushauriana nayo  jinsi inavyoweza kushirikiana na Tanzania. Wengine katika picha ni wataalamu katika taasisi hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI LAZARO NYALANDU AKUTANA NA TAASISI ZA UHIFADHI WANYAMAPORI JIJINI NEW YORK

 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Waandamizi wa Taasisi ya Vulcan ya nchini Marekani  Bw. Dave Stewart (kushoto) na Bi. Lauren Ryder, inayojihusisha na masuala ya kuidadi tembo katika nchi 18 barani Afrika ikiwemo Tanzania, baada ya kufanya mazungumzo maalum ya ushirikiano yaliyofanyika katika jiji la New York nchini Marekani jana. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu  akiagana na Bw....

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA UWEKEZAJI NA BIASHARA YA BRUSSELS

Balozi wa Tanzania Belux na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Uwekezaji na Biashara ya Brussels Bi. Benedicte Wilders (kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Kimataifa wa taasisi hiyo Bwana. Philip Feytons. Balozi Kamala amekutana na viongozi hao leo hii Brussels kuwaomba wahimize makampuni ya Brussels kushiriki ziara ya kibiashara inayoandaliwa kufanyanyika Tanzania mwishoni mwa mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani