Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI SEIF AKUTANA NA UJUMBE WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif wa Kwanza kutoka kulia akiuhakikishia Ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation kwamba Uchaguzi Mkuu wa Tarehe 25 Mwezi huu utafanyika katika misingi ya haki na amani hapa Zanzibar.
Ujumbe huo unaoongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wake Bwana Joseph Butiku wa Pili kutoka Kushoto up[o Zanzibar kukutana na Viongozi wa ngazi za juu kujaribu kusaidia mawazo ya kuona Taifa linaendelea kudumisha amani iliyopo Nchini. Picha na –OMPR – ZNZ.


Makamu wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif akutana na Ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya ushauri wa Uhandisi wa Ujenzi toka Misri

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amekutana kwa mazungumzo na Ujumbe wa Wataalamu wa Ujenzi, Miundo mbinu pamoja na usanifu Miji ya Kisasa wa Taasisi ya Ushauri wa Uhandisi { ECG } Kutoka Nchini Misri. Ujumbe huo unaoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi hiyo Mhandisi Amr Alouba upo Nchini kuangalia maeneo ambayo unaweza kushirikiana na Zanzibar katika Sekta ya Uwekezaji. Katika mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa...

 

11 years ago

Michuzi

balozi seif akutana na Taasisi za uwekezaji vitega uchumi kutoka Kampuni mbali mbali za Kimataifa za ujenzi mjini Dodoma leo

Na Othman Khamis Ame, OMPR Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Taasisi na washirika wa Maendeleo bado wana fursa nzuri na pana ya kuendelea kushirikiana na Serikali katika uendelezaji wa miradi mbali mbali ya Maendeleo na Kiuchumi.  Alisema fursa hiyo kwa kiasi kikubwa itasaidia kuleta ustawi bora wa Wananchi sambamba na kuimarisha nguvu za uendeshaji wa Taasisi na Mashirika hayo katika mipango yao ya uzalishaji. Balozi Seif alisema hayo Ofisini kwake katika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa mdahalo

TAASISI ya Mwalimu Nyerere imeandaa mdahalo wa kukumbuka na kuenzi mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere katika kujenga, kutetea, kulinda na kudumisha amani Duniani. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKONDA: SIKUVURUGA MKUTANO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE

Makonda akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) huku akionyesha moja ya magazeti yaliyoandika vurugu za jana.Waandishi wa habari wakisikiliza taarifa ya Makonda (hayupo pichani).
(Patrick Bozohera na Gabriel Ng’osha/GPL)KATIBU Mwenezi Idara ya Hamasa na Chipukizi ya UVCCM, Paul Makonda, amekana kuhusika katika vurugu zilizotokea jana katika mdahalo wa Katiba Iliyopendekezwa ambao ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere chini ya Mwenyekiti wake Joseph Butiku.

Hayo ameyasema leo...

 

10 years ago

GPL

MAKONDA: SIKUVURUGA MKUTANO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE

Makonda akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). …Akionyesha moja ya magazeti yaliyoandika vurugu za jana. Waandishi wa habari wakisikiliza taarifa ya Makonda (hayupo pichani).…

 

10 years ago

GPL

TAASISI YA MWALIMU NYERERE KUFANYA MKUTANO KESHO

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph W. Butiku akionesha karatasi ya taarifa kwa wanahabari (hawapo pichani) pamoja na Msaidizi Maalum wa Mkurugenzi Mtendaji, Gallus N. Abed. Viongozi hao wakisikiliza kwa makini maswali kutoka kwa wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakichukua taarifa za tukio…

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKUTANA NA BALOZI MPYA WA DENMARK NCHINI TANZANIA, EINAR HEBOGARD JENSEN

Balozi Mpya wa Denmark Nchini Tanzania Einar Hebogard Jensen akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwa Balozi Seif Vuga Mjini Zanzibar alipofika kujitambulisha rasmi.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwa Balozi Seif akibadilishana mawazo na Balozi Mpya wa Denmark Nchini Tanzania Bwana Einar Hebogard Jensen. Picha na –OMPR – ZNZ.
Denmark imeahidi kuendelea kuiunga Mkono Zanzibar katika harakati zake za Kiuchumi na...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akutana na Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake

Kampuni ya Ms Shimoja  yenye Makao Makuu yake katika Jimbo la Michigan  Nchini Marekani iko mbioni kutaka kuanzisha kituo cha Matangazo ya Televisheni Mjini Dar es salaam Nchini Tanzania kitakachotoa huduma ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ambae pia ni Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa ndani ya viunga vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani