Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa mdahalo

TAASISI ya Mwalimu Nyerere imeandaa mdahalo wa kukumbuka na kuenzi mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere katika kujenga, kutetea, kulinda na kudumisha amani Duniani. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa maonyesho na mdahalo wa kukumbuka miaka 15 ya kifo cha Baba wa Taifa

bnr1

Na Anna Nkinda – Maelezo

 Taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa kushirikiana na Makumbusho ya Taifa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wameandaa maonyesho na mdahalo wa kukumbuka na kuenzi mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kujenga, kutetea, kulinda na kudumisha amani Duniani.

Maonyesho hayo ya siku tano ambayo yatafunguliwa tarehe 13 na kumalizika terehe 17 mwezi huu yatafanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa yaliyopo jijini Dar es Salaam.

Kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, WAPINGA RUSHWA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015.

 Mtoa mada Awadh Ali Said, akitoa mada kuhusu muungano na umuhimu wa kuzingatia misingi ya amani katika mdahalo huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere ambao ulifanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Mtoa mada Dk. Humphrey Polepole akitoa mada kuhusu kuzingatia misingi ya amani na umoja wa taifa letu kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akitoa majumuisho ya jumla juu ya dhima ya mdahalo...

 

9 years ago

Michuzi

MDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015

Mtoa mada katika Mdahalo kuhusu Amani, Umoja na Haki Tanzania, Bw. Humphrey Polepole akielezea mawazo yake mbele ya washiriki katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam jana nyuma ni Balozi Getrude Mongela. Mdahalo huo uliorushwa moja kwa moja na Kituo cha Televisheni cha ITV. Picha na Said Ng’amilo.Washiriki waliohudhuria katika mdahalo kuhusu Amani Umoja na Haki uliofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam jana.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

GPL

MDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015‏


Mtoamada katika Mdahalo kuhusu Amani, Umoja na Haki Tanzania, Bw. Humphrey Polepole akielezea mawazo yake mbele ya washiriki katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam jana nyuma ni Balozi Getrude Mongela.Mdahalo huo uliorushwa moja kwa moja na Kituo cha Televisheni cha ITV.…

 

10 years ago

Vijimambo

MAKONDA: SIKUVURUGA MKUTANO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE

Makonda akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) huku akionyesha moja ya magazeti yaliyoandika vurugu za jana.Waandishi wa habari wakisikiliza taarifa ya Makonda (hayupo pichani).
(Patrick Bozohera na Gabriel Ng’osha/GPL)KATIBU Mwenezi Idara ya Hamasa na Chipukizi ya UVCCM, Paul Makonda, amekana kuhusika katika vurugu zilizotokea jana katika mdahalo wa Katiba Iliyopendekezwa ambao ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere chini ya Mwenyekiti wake Joseph Butiku.

Hayo ameyasema leo...

 

10 years ago

GPL

TAASISI YA MWALIMU NYERERE KUFANYA MKUTANO KESHO

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph W. Butiku akionesha karatasi ya taarifa kwa wanahabari (hawapo pichani) pamoja na Msaidizi Maalum wa Mkurugenzi Mtendaji, Gallus N. Abed. Viongozi hao wakisikiliza kwa makini maswali kutoka kwa wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakichukua taarifa za tukio…

 

10 years ago

GPL

MAKONDA: SIKUVURUGA MKUTANO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE

Makonda akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). …Akionyesha moja ya magazeti yaliyoandika vurugu za jana. Waandishi wa habari wakisikiliza taarifa ya Makonda (hayupo pichani).…

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKUTANA NA UJUMBE WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif wa Kwanza kutoka kulia akiuhakikishia Ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation kwamba Uchaguzi Mkuu wa Tarehe 25 Mwezi huu utafanyika katika misingi ya haki na amani hapa Zanzibar.
Ujumbe huo unaoongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wake Bwana Joseph Butiku wa Pili kutoka Kushoto up[o Zanzibar kukutana na Viongozi wa ngazi za juu kujaribu kusaidia mawazo ya kuona Taifa linaendelea kudumisha amani iliyopo Nchini. Picha na –OMPR – ZNZ.


Makamu wa...

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani