Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa maonyesho na mdahalo wa kukumbuka miaka 15 ya kifo cha Baba wa Taifa
Na Anna Nkinda – Maelezo
Taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa kushirikiana na Makumbusho ya Taifa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wameandaa maonyesho na mdahalo wa kukumbuka na kuenzi mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kujenga, kutetea, kulinda na kudumisha amani Duniani.
Maonyesho hayo ya siku tano ambayo yatafunguliwa tarehe 13 na kumalizika terehe 17 mwezi huu yatafanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa yaliyopo jijini Dar es Salaam.
Kwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa mdahalo
TAASISI ya Mwalimu Nyerere imeandaa mdahalo wa kukumbuka na kuenzi mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere katika kujenga, kutetea, kulinda na kudumisha amani Duniani. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZlBJL*XyKT2eNyXXafxvHX1r5JG3q22VOsK0qDEu4VKRjw32eJuH8-HWOOzBbJJcE7ysXxOH3ZZ8euDa0tR3H*L8IN4ZfTzN/NYERERE.jpg?width=650)
KUMBUKUMBU YA MIAKA 15 TANGU KIFO CHA MWALIMU NYERERE
9 years ago
Vijimambo14 Oct
LEO NI MIAKA 16 YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU JULIUS NYERERE
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2912672/highRes/1147061/-/maxw/600/-/l336uv/-/Nyerere.jpg)
By Pius Msekwa
Ni dhahiri kwamba Mwalimu Nyerere anakumbukwa kwa mambo mengi ya msingi aliyoyapa kipaumbele wakati wa uongozi wake. Jambo mojawapo alilisema Julai 29 Julai, 1985, kwamba: “Kazi iliyokuwa muhimu kuliko zote kwangu mimi, ilikuwa ni kujenga Taifa lenye umoja kwa msingi wa heshima na usawa wa binadamu”.
Lakini yapo mambo mengine mengi ya uongozi wake ambayo...
10 years ago
Vijimambo14 Oct
9 years ago
Dewji Blog14 Oct
MODEWJIBLOG na Kumbukumbu ya miaka 16 ya tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere!
Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alizaliwa mwaka 1922 katika kijiji cha Butiama, wilaya ya Musoma, mkoa wa Mara, Tanzania (wakati ule: Tanganyika). leo hii ni miaka 16 tangu atangulie mbele za haki huku taifa na vizazi vyake vikiendelea kumkumbuka na kuenzi utashi na uongozi wake ulitukuka katika taifa hili la Tanzania.
Mtandao wa Modewjiblog unaungana na Watanzania wote popote pale walipo katika kuombeleza kumbukumbu hii ya Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere. Pia tunatumia...
10 years ago
VijimamboMDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, WAPINGA RUSHWA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015.
9 years ago
MichuziMDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
GPLMDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, UMOJA NA HAKI KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-o0foux9_A4g/Vg6w8I_TlNI/AAAAAAAAz2w/jX-MjAeHDJc/s72-c/DSC_0861.jpg)
MAMA SAMIA AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE
![](http://1.bp.blogspot.com/-o0foux9_A4g/Vg6w8I_TlNI/AAAAAAAAz2w/jX-MjAeHDJc/s640/DSC_0861.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-mpqqL6TWrKs/Vg6w9Lo5qII/AAAAAAAAz28/iFz0P5hR6E8/s640/DSC_0865.jpg)