balozi seif akutana na Taasisi za uwekezaji vitega uchumi kutoka Kampuni mbali mbali za Kimataifa za ujenzi mjini Dodoma leo
Na Othman Khamis Ame, OMPR Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Taasisi na washirika wa Maendeleo bado wana fursa nzuri na pana ya kuendelea kushirikiana na Serikali katika uendelezaji wa miradi mbali mbali ya Maendeleo na Kiuchumi. Alisema fursa hiyo kwa kiasi kikubwa itasaidia kuleta ustawi bora wa Wananchi sambamba na kuimarisha nguvu za uendeshaji wa Taasisi na Mashirika hayo katika mipango yao ya uzalishaji. Balozi Seif alisema hayo Ofisini kwake katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO
11 years ago
MichuziTASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
10 years ago
MichuziTASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO
11 years ago
MichuziBALOZI SEIF ALI IDD AKABIDHI VIFAA MBALI MBALI VYA UJENZI KATIKA JIMBO LA KITOPE
Tahadhari hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi wakati akikabidhi vifaa mbali mbali vya uwezekaji wa majengo ya Maabara na Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Fujoni iliyomo ndani ya Jimbo la Kitope Wilaya ya Kaskazini “ B”.
Balozi Seif ambae pia ni...
10 years ago
GPLTASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA
10 years ago
MichuziTASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALIM LA KATIBA MJINI DODOMA
11 years ago
MichuziTASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA
10 years ago
MichuziBalozi Seif akutana na Ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya ushauri wa Uhandisi wa Ujenzi toka Misri
11 years ago
MichuziWAJUMBE WA KAMATI MBALI MBALI ZA BUNGE WAENDELEA NA VIKAO MJINI DODOMA