Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Mhe.Samweli Sitta akijibu hoja za wabunge kabla Bunge halijapitisha Bajeti ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki kwa Mwaka 2014/2015. Maofisa wa wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki wakiwa pamoja na Wabunge wa Afrika ya Mashariki wakifuatilia kikao cha Bajeti ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki kwa  Mwaka 2014/2015. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Mhe.Samweli Sitta akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi yaWaziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, bungeni mjini Dodoma Mei 29, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali Bungeni mjini Dodoma Mei 29, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wasanii kutoka kikundi cha Pilipili Entertainment, Ahmed Olotu maarufu kwa jina la Chillo (katikati) na Madame Kitu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 29, 2014. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALIM LA KATIBA MJINI DODOMA

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta bungeni mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo na Ahmed Shabiby wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep 24, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizunguma na mjumbe wa Bunge la Bunge Maalum la Katiba, Margaret Sitta,kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, William Lukuvi (kulia) akizungumza , Anna Abdallah (katikati) na Tundu Lisu wakizungumza , Bungeni Mjini Dodoma Machi 11, 2014. Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba Kabwe Zitto na Ibrahim Lipumba wakiteta Bungeni Mjini Dodoma Machi 12, 2014. Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Kificho akiongozwa kutoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 12, 2014 bada ya kuahirisha Bunge hilo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta bungeni mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Ahmed Shabiby wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep 24, 2014.…

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda , Anna Abdallah...

 

11 years ago

Michuzi

balozi seif akutana na Taasisi za uwekezaji vitega uchumi kutoka Kampuni mbali mbali za Kimataifa za ujenzi mjini Dodoma leo

Na Othman Khamis Ame, OMPR Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Taasisi na washirika wa Maendeleo bado wana fursa nzuri na pana ya kuendelea kushirikiana na Serikali katika uendelezaji wa miradi mbali mbali ya Maendeleo na Kiuchumi.  Alisema fursa hiyo kwa kiasi kikubwa itasaidia kuleta ustawi bora wa Wananchi sambamba na kuimarisha nguvu za uendeshaji wa Taasisi na Mashirika hayo katika mipango yao ya uzalishaji. Balozi Seif alisema hayo Ofisini kwake katika...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA KISIWANI PEMBA LEO


Vikwangua anga vinavyoendelea kuibuka kwa kasi katika eneo la Chake Chake,Kusini Pemba
Chai Maharage bado ndio usafiri unaoaminika kwa kusafirishia abiria katika maeneo mbali mbali huku visiwani Zanzibar.
Chake Chake,Pemba.

KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI WAKATI WA KUREKODI VIDEO MPYA YA CHEGE NA TEMBA KUTOKA TMK WANAUME


Wasanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka TMK Wanaume Family,Temba na Chege wakiwa ndani ya ndege wakati wakiendelea Kurekodi Video yao mpya ambayo itatoka hivi karibuni.
Sehemu ya Wadau wa Muziki wanaoshiriki kwenye video hiyo ni pamoja na Julio,Madee na Jokate kama wanavyoonekana pichani hapa.

BOFYA HAPA KUONA PICHA KIBAO 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani