TAASISI ZA KIFEDHA NCHINI ZATAKIWA KUACHA URASIMU KATIKA MIKOPO
NA SALVATORY NTANDUSerikali imezitaka Taasisi za kifedha nchini kuacha urasimu katika utoaji wa mikopo kwa wawekezaji wa viwanda wa ndani ili kuwasaidia kukuza mitaji yao hali ambayo itachangia kuongeza ajira.
Kauli hiyo imetolewa Machi mosi na Makamu wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Ali Idd wilayani, Kahama mkoani Shinyanga katika ziara yake ya kwanza baada ya kutembelea na kukagua eneo la ujenzi wa viwanda vitatu katika eneo la chapulwa vinavyojengwa na KOM GROUP...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Simbakalia ataka Tanesco kuacha urasimu
MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali mstaafu Joseph Simbakalia, amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuhakikisha wananchi wanaokwenda kuomba huduma ya kuunganishiwa umeme wanapatiwa huduma hiyo kwa wakati. Simbakalia alitoa...
10 years ago
Uhuru Newspaper26 Mar
CCM yaitaka serikali kuacha urasimu
SERIKALI imeshauriwa kupunguza urasimu wa ufanyaji biashara katika maeneo ya mipakani, ili wananchi wengi watumie fursa hiyo katika kujiongezea kipato.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alipokuwa akizungumza na wakazi wa Himo.
Alisema Tanzania ni nchi pekee ambayo mikoa yake zaidi ya 14 imekuwa ikipakana na nchi za jirani.
Kinana alisema iwapo wananchi wa mikoa hiyo wakitumia fursa hiyo ya kupakana na nchi jirani kufanya biashara, kutawasaidia katika...
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Maofisa biashara Kusini watakiwa kuacha urasimu
5 years ago
MichuziSACCOS ZATAKIWA KUWEKEZA MIKOPO KWA WANACHAMA WAO
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://1.bp.blogspot.com/-Cv3eTSKLF9I/VQhI3LLJeUI/AAAAAAAACAk/TH2gWsxnAYE/s72-c/315407_114564585412445_342326531_n.jpg)
Muswada wa taasisi za kifedha waja
NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema serikali itapeleka bungeni muswada wa sheria ambao utawawezesha wananchi kuanzisha taasisi za kifedha.
![](http://1.bp.blogspot.com/-Cv3eTSKLF9I/VQhI3LLJeUI/AAAAAAAACAk/TH2gWsxnAYE/s1600/315407_114564585412445_342326531_n.jpg)
Mwigulu alisema hayo jana bungeni mjini Dodoma wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Igunga, Dk. Dalaly Kafumu, aliyetaka kujua lini serikali itawawezesha wakazi wa Igunga kuanzisha taasisi za kifedha.Mwigulu alisema muswada huo utaandaliwa na kupelekwa bungeni wakati wowote kuanzia sasa.Katika swali la msingi, Dk. Kafumu alitaka...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-03nYei4Dqf0/XvXfrVx6znI/AAAAAAALvgs/VbcLV4u9vYcQBId9Hv9FM7oO32Tk_cfTgCLcBGAsYHQ/s72-c/ce56e509-f63d-4b94-aabe-0df5f92ad50e.jpg)
TAASISI ZATAKIWA KUBUNI TEKNOLOJIA MPYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-03nYei4Dqf0/XvXfrVx6znI/AAAAAAALvgs/VbcLV4u9vYcQBId9Hv9FM7oO32Tk_cfTgCLcBGAsYHQ/s640/ce56e509-f63d-4b94-aabe-0df5f92ad50e.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/8ebaee4a-4a26-4205-9f49-225a657234c1.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/d3e63701-da56-4458-b21f-e05d93670709.jpg)
11 years ago
MichuziTAASISI ZATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA UZAZI
Kina mama wakionyesha mfano wa kuwanyonyesha watoto wachanga katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya Unyonyeshaji Duniani yaliyofanyika kitaifa wilayani Mufundi mkoani Iringa
9 years ago
Habarileo09 Oct
Taasisi zatakiwa kuweka wazi takwimu
SERIKALI imezitaka taasisi na idara zake kuweka wazi takwimu mbalimbali ili kutoa fursa kwa wananchi kufahamu ahadi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya serikali.
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Asilimia 97 ya walimu wanakopa taasisi za kifedha
IMEELEZWA kuwa asilimia 97 ya walimu Tanzania wanakopa katika taasisi mbalimbali za kifedha zinazotoa riba kubwa na kusababisha maisha yao kuwa duni. Utafiti uliofanywa na taasisi inayoshughuka na Utafiti na...