Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simbakalia ataka Tanesco kuacha urasimu

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali mstaafu Joseph Simbakalia, amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuhakikisha wananchi wanaokwenda kuomba huduma ya kuunganishiwa umeme wanapatiwa huduma hiyo kwa wakati. Simbakalia alitoa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

CCM yaitaka serikali kuacha urasimu


SERIKALI imeshauriwa kupunguza urasimu wa ufanyaji biashara katika maeneo ya mipakani, ili wananchi wengi  watumie fursa hiyo katika kujiongezea kipato.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alipokuwa akizungumza na wakazi wa Himo.
Alisema Tanzania ni nchi pekee ambayo mikoa yake zaidi ya 14 imekuwa ikipakana na nchi za jirani.
Kinana alisema  iwapo wananchi wa mikoa hiyo wakitumia fursa hiyo ya kupakana na nchi jirani kufanya biashara, kutawasaidia katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Maofisa biashara Kusini watakiwa kuacha urasimu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa amewataka baadhi ya watendaji kupunguza urasimu wakati wa kusajili majina ya kufungua biashara za watu mbalimbali nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kibada walia na urasimu TANESCO

WAKAZI wa Kata ya Kibada, Jimbo la Kigamboni, Dar es Salaam, wamemuomba Mbunge wa Jimbo hilo, Dk. Faustine Ndugulile, aingilie kati urasimu unaodaiwa kufanywa na watendaji wa Shirika la Umeme...

 

5 years ago

CCM Blog

TAASISI ZA KIFEDHA NCHINI ZATAKIWA KUACHA URASIMU KATIKA MIKOPO

   NA SALVATORY NTANDUSerikali imezitaka Taasisi za kifedha nchini kuacha urasimu katika utoaji wa mikopo kwa wawekezaji wa viwanda wa ndani ili kuwasaidia kukuza mitaji yao hali ambayo itachangia kuongeza ajira.
Kauli hiyo imetolewa Machi mosi na Makamu wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,  Balozi Ali Idd  wilayani, Kahama mkoani Shinyanga katika ziara yake ya kwanza baada ya kutembelea na kukagua eneo la ujenzi wa  viwanda vitatu katika eneo la chapulwa vinavyojengwa na KOM GROUP...

 

11 years ago

Mwananchi

Sumaye ataka Watanzania kuacha ubinafsi

 Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye amewataka Watanzania kuacha ubinafsi na kujitolea kwa jamii katika kukabiliana na majanga ya njaa, mazingira, maji na elimu ambayo yamekuwa ni chanzo cha pengo kati ya tabaka la matajiri na masikini nchini.

 

11 years ago

Habarileo

Ataka zibuniwe mbinu za kuachana na Tanesco

Mahmoud Mohamed MussaSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imetakiwa kubuni njia mbadala za kuzalisha umeme, kuepuka kutumia chanzo kimoja cha umeme unaozalishwa Tanzania Bara na Shirika la Umeme la (Tanesco).

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete: Urasimu serikalini unatisha

RAIS Jakaya Kikwete amesema urasimu uliopo kwenye sekta mbalimbali nchini ni jambo la kutisha.

 

10 years ago

Habarileo

Urasimu wakwamisha wakimbiza wawekezaji

Godfrey SimbeyeMKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Godfrey Simbeye amesema kuwa urasimu mkubwa uliopo katika kusimamia masuala ya uwekekezaji umechangia kuwakimbiza wawekezaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali imetakiwa kuondoa urasimu

Serikali imetakiwa kuingilia kati urasimu wa upatikanaji masoko kwa wafanyabiashara na wakulima wa mbogamboga na matunda, kufuatia kukithiri kwa vitendo vya rushwa vinavyofanywa na madalali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani