Wananchi Kusini kunufaika na ujenzi wa Reli ya Mbamba Bay.
Na Adam Nindi,
Songea.
Wananchi wanaoishi Kusini mwa Tanzania jirani na Nchi za Msumbiji na Malawi wanatarajia kunufaika na Reli itakayojengwa kutoka Mbamba Bay wilayani Nyasa hadi mkoani Mtwara ambayo ujenzi wake utaanza mwezi Juni mwaka huu.
Katika ziara ya siku moja mkoani Ruvuma, Waziri wa Uchukuzi Dokta Harrison Mwakyembe amebainisha kuwa reli hiyo ya Mtwara Kolido itagharimu fedha za kimarekani dola Bilioni tatu mpaka kumalizika kwake.
Waziri Mwakyembe amesema ujenzi wa Reli hiyo...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog02 Sep
Dk Magufuli akishinda Urais aahidi Serikali kujenga reli kutoka Mtwara hadii Mbamba Bay Ruvuma, kupunguza bei ya vifaa vya ujenzi
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM kumnadi mgombea urais Dk John Magufuli wilayani Masasi jana. Dk Magufuli amesema kuwa CCM ikishinda Serikali itajenga Reli kuanzia Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Masasi, mkoani Mtwara jana.
Mfuasi wa CCM akiwa amejichora usoni huku kidevuni akiwa aqmeandika jina la Mgombea Urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk Magufuli.
Wananchi...
9 years ago
VijimamboDK MAGUFULI AKISHINDA URAIS AAHIDI SERIKALI KUJENGA RELI KUTOKA MTWARA HADI MBAMBA BAY RUVUMA, KUPUNGUZA BEI YA VIFAA VYA UJENZI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Hqt_cDr2iIw/XvMOGazSykI/AAAAAAALvMw/29B9SZImiX8b6B4pZjv6wENs33tiihACACLcBGAsYHQ/s72-c/788f92ae-4865-48a3-9e8a-aa753b862239.jpg)
WALINZI WATUHUMIWA KUHUJUMU MRADI WA UJENZI WA BARABARA MBINGA KWENDA MBAMBA BAY
![](https://1.bp.blogspot.com/-Hqt_cDr2iIw/XvMOGazSykI/AAAAAAALvMw/29B9SZImiX8b6B4pZjv6wENs33tiihACACLcBGAsYHQ/s640/788f92ae-4865-48a3-9e8a-aa753b862239.jpg)
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akiangalia baadhi ya makatapila ambayo yameng’olewa betri zake na kuibiwa mafunta zaidi ya lita 100 na walinzi wa Kampuni ya ulinzi ya Hamseki Ltd inayolinda vifaa vya kammpuni ya Chico inayojenga barabara ya lami kutoka Mbinga hadi Mbamba bay wilayani Nyasa ambapo ametoa agizo kwa jeshi la polisi mkoani Ruvuma kuwasaka watu walihusika na wizi huo.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/b1a5887b-ce41-405d-adfb-82b23fad0c5d.jpg)
Msimamizi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya lami wa kampuni ya Chico inayojenga barabara ya lami kutoka...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PiUFWn6laME/UvNwNcZ5TdI/AAAAAAAFLLE/UALbtzKbDxg/s72-c/unnamed+(51).jpg)
Elimu ipewe kipaumbele Ili kuwawezesha wananchi wa kusini kunufaika na rasilimali ya gesi — Norway
![](http://1.bp.blogspot.com/-PiUFWn6laME/UvNwNcZ5TdI/AAAAAAAFLLE/UALbtzKbDxg/s1600/unnamed+(51).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-0YKwmNv7rrA/UvNwNQlIrUI/AAAAAAAFLLI/sDY1s2arHMo/s1600/unnamed+(52).jpg)
BOFYA HAPA...
9 years ago
Dewji Blog30 Dec
Baraza la Ujenzi lafanikiwa kutatua migogoro ya ujenzi 41 mwaka 2015, lawataka wananchi kuwa makini kabla ya kufanya ujenzi
Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu Baraza hilo lilivyofanikiwa kutatua migogoro kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya Ujenzi nchini.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho leo Jijini Dar es salaam kuhusu Baraza hilo lilivyofanikiwa kutatua migogoro kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya Ujenzi...
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Ahadi ya JPM ya ujenzi wa reli kuanza
11 years ago
Habarileo29 Apr
Ujenzi reli ya kati wapigwa jeki
BODI ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha msaada wa dola za Marekani milioni 300 kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Maendeleo (IDA) kwa ajili ya kuongeza nguvu jitihada za Serikali katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya reli.
10 years ago
Mwananchi31 Mar
Ujenzi Reli ya Kati utatukomboa kiuchumi
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Halmashauri 120 kunufaika ujenzi nyumba za walimu
NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), Kassim Majaliwa, amesema katika mwaka wa fedha 2014/2015; halmashauri 120 zitanufaika na mpango wa ujenzi wa...