Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais azindua jengo la halmashauri la bil 2/-

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete jana amezindua Jengo la ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Kilindi lililogharimu zaidi ya Sh bilioni mbili hadi kukamilika kwake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KISASA JIJINI DAR

 Jengo la kisasa la mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umama-PSPF. Rais Jakaya Kikwete amezindua jengo la kisasa la mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umama-PSPF- na kuyataka mashirika mengine nchni kujenga majengo ya kisasa ili kuleta imani na matumaini kwa wawekezaji kuwa Tanzania ina mazingira mazuri ya uwekezaji. Akizungumza katika uzinduzi huo, rais Kikwete licha ya kupongeza bodi ya wadhamini kwa kubuni wazo la kujenga...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete azindua jengo la Kitega Uchumi la NSSF Moshi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mh.Gaudensia Kabaka(watano kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt.Ramadhani Dau(wapili kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama(wapili kushoto) pamoja na viongozi na wadau wengine wakikata utepe kufungua rasmi jengo la kitega uchumi la NSSF Kilimanjaro Commercial Complex mjini Moshi,Mkoani Kilimanjaro leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt.Ramadhan Dau pamoja na wadau wengine wakitazama ramani ya jengo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete azindua rasmi Jengo la kisasa la biashara Kilimanjaro

JK-pazia

Mhe. Rais Dr. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua pazia kuzindua rasmi Jengo la kisasa la Kitega Uchumi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Moshi, mkoani Kilimanjaro jana. Kushoto ni Waziri wa Kazi na Ajira, Bi. Gaudencia kabaka. (Na Mpigapicha Wetu).

Mhe. Rais Dr. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Jengo la kisasa la Kitega Uchumi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii mjini Moshi Kilimanjaro jana. Wengine ni Waziri wa Kazi na Ajira, Bi. Gaudensia Kabaka (kushoto kwa Rais), Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhan Dau (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro, Bw. Leonidas Gama.

Mhe. Rais Dr. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Jengo la kisasa la Kitega Uchumi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii mjini Moshi Kilimanjaro jana. Wengine ni Waziri wa Kazi na Ajira, Bi. Gaudensia Kabaka...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KUHIFADHI MADAWA LA HOSPITALI CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa  kwa  Mtendaji Mkuu...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AZINDUA JENGO LA TTCL, AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA STENDI BARIADI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe kuzindua rasmi  Jengo Jipya la Ofisi na Kituo cha huduma kwa Wateja la Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu leo March 07,2020. kulia Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Waziri Kindamba. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi na Wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu wakati wa uzindua rasmi  Jengo Jipya la Ofisi na Kituo cha huduma...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete Azindua Jengo la Kuhifadhia Madawa la Hospitali ya CCBRT jijini Dar Ijumaa Oktoba 3, 2015

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa  kwa  Mtendaji...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal azindua mfuko wa elimu wa halmashauri ya mji wa Kibaha

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na vijana wa Scout wa mji wa Kibaha, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Mailimoja Kobaha, kwa ajili kuzindua Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, leo, Mei 31, 2014. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati akiwasili uwanjani hapo.

3

 Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete Azindua Jengo la Kuhifadhia Madawa la Hospitali ya CCBRT jijini Dar es salaam Ijumaa Oktoba 3, 2015

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa na mabalozi na watoto wanaopata matibabu wakikata utepe kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid  Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo.  Rais Kikwete na watendaji  wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja.KWA PICHA...

 

9 years ago

Michuzi

SIMU TV: Rais Kikwete Azindua Jengo la Kuhifadhia Madawa la Hospitali ya CCBRT jijini Dar es salaam, na habari zingine


Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aonya wasimamizi wa uchaguzi mkoani humo kuzingatia na kufuata sheria katika zoezi la kupiga kura kuepusha vurugu.https://youtu.be/E4PqPs6h9uY
Mgombea uraisi wa Zanzibar Dr.Shein aahidi kupandisha bei ya zao la karafuu endapo atachaguliwa ili kuinua kipato cha wakulima. https://youtu.be/hlUp7Y0XU1c
Mgombea mwenza wa uraisi aahidi kutatua na kuondoa migogoro ya ardhi mkoani Simiyu kufuatia kukithiri kwa migogoro mkoani humo. https://youtu.be/AA3y7T9r0kk
Raisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani