Vinasaba vyasaidia serikali kuvuna bil 33.53/- mafuta
VITENDO vya uchakachuaji mafuta vimeweza kudhibitiwa na kuiwezesha serikali kupata mapato ya Sh bilioni 33.53 tangu Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA) ilipochukua hatua ya kudhibiti mwenendo wa sekta ndogo ya mafuta ya petroli.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo14 Jun
Halmashauri 80 kuvuna bil. 40/- nyumba za walimu
SERIKALI inatarajiwa kutoa Sh bilioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu katika halmashauri 80 nchini, sawa na Sh Sh milioni 500 kwa kila halmashauri. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya aliposoma Hotuba ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Serikali itoe tamko mbegu za vinasaba — Wadau
WADAU wa sekta binafsi za kilimo nchini wameitaka serikali kutoa tamko pamoja na takwimu za awali kutokana na uchunguzi unaofanywa juu ya matumizi ya mbegu zilizochanganywa vinasaba. Wadau hao walibainisha...
10 years ago
Mwananchi10 Feb
Tiper kutumia Sh19 bil. kuhifadhi mafuta
9 years ago
Mtanzania31 Dec
Serikali yapeleka Sh bil 18 za elimu
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
SERIKALI imepanga kupeleka Sh bilioni 18.77 kila mwezi kwa ajili ya kugharimia elimu bure kuanzia Januari, mwakani.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene alisema fedha hizo zitapelekwa kwa awamu ili zitumike kama ilivyokusudiwa.
Alisema katika mpango huo, Serikali itagharimia gharama zote za mtihani wa kidato cha nne kwa wanafunzi wote, tofauti na...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Serikali yapatiwa bil. 108/-
TANZANIA imepokea msaada wa dola za Kimarekani milioni 66.1 (sawa na sh. bilioni 108.5) kutoka kwa wadau wa maendeleo, zitakazotumika kuboresha sekta ya afya. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Kampuni ‘yapiga’ bil. 3/- za Serikali
KAMPUNI ya Erolink imeiibia serikali kiasi cha sh bilioni tatu za mapato kutoka kwa waajiriwa wapya katika kipindi cha miaka mitatu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Habarileo03 Jun
Taasisi za serikali zadaiwa bil.20/-
TAASISI mbalimbali za serikali nchini zinadaiwa jumla ya Sh bilioni 20 ikiwa ni malimbikizo ya madeni ya huduma ya maji, Bunge limefahamishwa.
9 years ago
Mtanzania14 Nov
Serikali yalipa walimu bil 1.9/-
Asifiwe George na Imani Nathaniel (RCT), Dar es Salaam
CHAMA cha Walimu Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam, kimesema Serikali imeanza kulipa deni la madai ya walimu kiasi cha Sh 1,936,572,146.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CWT wa mkoa huo, Amina Kisenge, alisema kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2013 hadi Julai 2015 walikuwa wanaidai Serikali kiasi cha Sh 3,916,432,471.
Alisema kwa sasa deni lililobaki ni Sh 1,979,860,325 ambazo bado walimu wanadai.
Alisema pamoja na...
11 years ago
Habarileo12 Mar
Ubelgiji yaipatia Serikali bil.40/-
SERIKALI imepokea msaada wa Sh bilioni 40 kutoka Serikali ya Ubelgiji kusaidia sekta ya kilimo na maji.